Nina matatizo makubwa mno(msaada jani)

Nina matatizo makubwa mno(msaada jani)

Kama kuandika unachohitaji unashindwa je kwenye mitandao utaweza Kiingereza?Nenda www.download.com uchague Operating System unayotumia aidha Windows au Mac au Linux.
 
mh, Tittle ilivokubeba hata bando lingekata ningekopa, ila
kumbe ndan aibu tupu

urudi FesiBuku tu
 
Naomba mnisaidie jamani nataka kuchua progra mbalimbali kwa ku dounlod katika internet ili niweke kwenye computer.nimeshindwa kabisa jamani nisaidieni wa Jf

ingia www.filehorse.com utakuta program zote muhimu kwa matumizi ya kompyuta yako. kila program ina maelezo ya kutosha. chukua ile tu unayo ona utaihitaji.
 
Naomba mnisaidie jamani nataka kuchua progra mbalimbali kwa ku dounlod katika internet ili niweke kwenye computer.nimeshindwa kabisa jamani nisaidieni wa Jf

File hippo.com
Download.com
Mostly google
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom