Nina matatizo makubwa mno(msaada jani)

Nina matatizo makubwa mno(msaada jani)

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Naomba mnisaidie jamani nataka kuchua progra mbalimbali kwa ku dounlod katika internet ili niweke kwenye computer.nimeshindwa kabisa jamani nisaidieni wa Jf
 
Unaharaka ya kwenda wapi mkuu?? Kwanini usiandike kitu kinachoeleweka?!!
 
Naomba mnisaidie jamani nataka kuchua progra mbalimbali kwa ku dounlod katika internet ili niweke kwenye computer.nimeshindwa kabisa jamani nisaidieni wa Jf
"kuchua progra" , ndio kufanyaje!!???
Halafu nilivyosoma kuwa una matatizo makubwa nimeshtuka kweli.
 
Kanunue dukani mpya kabisa au weka kama milioni tano kwenye account ya master halafu wakikuomba wape na wenyewe wanakata kama huna saka kwa watu
 
Naomba mnisaidie jamani nataka kuchua progra mbalimbali kwa ku dounlod katika internet ili niweke kwenye computer.nimeshindwa kabisa jamani nisaidieni wa Jf
nilivokuja mbio nitoe ushauri kumbe ni english ndio inakusumbua khaaa hatari sana..
 
Naomba mnisaidie jamani nataka kuchua progra mbalimbali kwa ku dounlod katika internet ili niweke kwenye computer.nimeshindwa kabisa jamani nisaidieni wa Jf

Dafuq!
 
Humu ndani heading za kidaku naona zinaongezeka...
.
Poor you MOLAM
.
Tunaelekea wapi sasa?
.
Watu kama wana andika magazeti hv
.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom