Nina maswali mengi sana hayana majibu?

Nina maswali mengi sana hayana majibu?

idiomer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
267
Reaction score
314
Yaani nchi yao bwana mtu anapotezwa wako kimya....

Kwa mara ya kwanza duniani

Nasikia mtu anajiuzulu alafu haonekani tenaaa ????

Yaani kweli pesa ndio zitufanye hiviii???

Ubinafsi aliwahi kusema muasisi ?

Balozi wa nchi fulani naye akawekwa kimyaa...na hakuna anayezungumzia????

Kesho inaweza kuwa zamu yako endelea kukaa kimyaaa

Naaandika huku natetemekaa
 
Kama makamu wa rais ananyooshwa, sisi wananchi tutafanywaje, ccm 🙌
 
Hivi jumbe naye alivyojiuzulu hakuonekana kabisa.
 
Back
Top Bottom