Sio mtz bana, sema anajua sana.kiswahili.coz amesoma mbeya na kukulia hapa.tzHabari za jioni wakuu
Straight to the topic ni kwamba naapa sikuwahi kumsikiliza kabla rais huyu maishani mwangu ila hamad! nimemsikiliza jioni hii akifanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC Swahili yaani wakati ninamsikiliza akili yangu inakataa kuwa huyu rais wa DRC kuwa ni mkongomani bali ni mtanzania mwenzetu
Ninao uwezo wa kumtambua mswahili asie Raia wa nchi yetu yaani Mkenya au Mrundi au Mnyarwanda kwa kuongea kwake kiswahili (Lafudhi yake inanihabarisha)
Ninaconclude kwa kusema huyu Joseph Kabila ni mtanzania pure na wanaonibishia angalieni mahojiano haya hapa chini
Sio mtz bana, sema anajua sana.kiswahili.coz amesoma mbeya na kukulia hapa.tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za jioni wakuu
Straight to the topic ni kwamba naapa sikuwahi kumsikiliza kabla rais huyu maishani mwangu ila hamad! nimemsikiliza jioni hii akifanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC Swahili yaani wakati ninamsikiliza akili yangu inakataa kuwa huyu rais wa DRC kuwa ni mkongomani bali ni mtanzania mwenzetu
Ninao uwezo wa kumtambua mswahili asie Raia wa nchi yetu yaani Mkenya au Mrundi au Mnyarwanda kwa kuongea kwake kiswahili (Lafudhi yake inanihabarisha)
Ninaconclude kwa kusema huyu Joseph Kabila ni mtanzania pure na wanaonibishia angalieni mahojiano haya hapa chini
BabakoooWanasiasa bwana, yaani uso wake wa upoleee, akiongea ndio wamuonea huruma zaidi kwa namna anavyoongea kwa upole.... Ingia kwenye anga zake sasa!
aiseee! kingsman the secret serviceAlikuwa Jeshini wakati ule watu wanapita Jkt kwa mujibu wa sheria pale mgambo Jkt na bro wangu. Nasikia alikuwa anapotea tu wiki, akirudi anakuja na documents analala nazo hagusi mtuu na alikuwa hasumbuliwi na maafande.
Alikuwa Jeshini wakati ule watu wanapita Jkt kwa mujibu wa sheria pale mgambo Jkt na bro wangu. Nasikia alikuwa anapotea tu wiki, akirudi anakuja na documents analala nazo hagusi mtuu na alikuwa hasumbuliwi na maafande.
Nadhani Sisi Tanzania under Mwalimu JK tungekuwa na uchumi mzuri tungeweza tawala nchini zote zinazotuzunguka. Ma presidaa wengi wametokea hapa Tanzania. Kagame alikuwa Morogoro, Kabilas wote wameishi bongo hapa, Museveni, akina marehemu Samora Machel. Mwalimu alikuwa mbabe sanaaiseee! kingsman the secret service
Yea baada kama ya miaka miwili au mitatu baba yake akawa Rais Congo. Baba yake ameishi sana msasani watu wakimfahamu kama mzee Mtwale, mfipa wa Sumbawanga kumbe the next president of CongoHiyo ya mpaka wajeda wa enzi hizo wakawa alerted jinsi ya kuishi nae huyo jamaa kuna mpango mkubwa sana tu unaohusisha wakubwa wa nchi inavyoonekana
Kuweza KUONGEA vizuri,kwa ufasaha au kwa usahihi lugha ya taifa fulani sio ndio UTAIFA WAKO!!!Habari za jioni wakuu