Nina mashaka na wanaoitwa wanyonge

Mawazo ya wajinga au wanyonge wanywaji wa pombe za kienyeji utasikia '"Magu endelea kuwanyoosha
Huku yeye hana cha kupoteza ni wivu tu kufurahia mwenye mafanikio akishushwa ili wawe sawa
 
Wanyonge wana mbio haoo walikua mbele kukimbiza gari la marehemu.Nikawa najiuliza watarudije jamani maana kuna mmoja alikua na speed ya ajabu maskini labda hata hajala. Wabunge mawaziri na familia ya mzee baba Hayati wapo zao kwenye magari ya kifahari na viyoyozi wala hawatoki mbio kama zao. Ee Mungu tusaidie
 
Umeongelea usalama
Matukio maovu yanatendeka watu wananyamazishwa,wewe unasema walikuwa wanafurahia usalama😳
 
Ujanja ni kuweka meza ya biashara mbele ya duka?
 
Mimi kinachonikera ni hii tabia ya wanyonge kuwa kama kuku. Mnyonge utakuta anamsifia boss wao ukigeuka utamkuta anakuomba 2000 anakuambia hela siku hizi imekuwa ngumu sana. Hivi wanyonge mna akili gani?
 
kuna wanyonge lazima watabishana na andiko lako takatifu
 
Siyo waziri tu , uliona hata kiongozi mmoja wa ccm akizimia ?
 
Una wivu tu wewe!! Umekasirishwa na wananchi kuonesha upendo wa halo ya juu kwa Rais wao!!
 
Tokea 2015 graduates tunabangaiza mtaani. Tunaambiwa tujiajiri, lakini wao wameajiriwa na hawataki hata kustaafu. Na waliopo kwenye ajira hawapandishwi ili wapya waingie kwenye system na waliofanikiwa kujiajiri biashara zimekua ngumu sababu mtaani hakuna pesa. RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…