Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,698
- 11,297
Usifurahie kuitwa Mnyonge aiseeee,Kutokomeza Ujambazi yes,well done,ila kuwaruhusu Machinga wajiachie bila mipaka kuna sehemu tumefeli.Wanaharibu sana mandhari na miundombinu jumlisha uchafu.Siku zote mwenye shida ndio huumia mtetezi wake anapoaga dunia.
Umeandika sana pumba hapa. Kumbuka tu Machinga, Mama ntilie na Bodaboda jinsi walivyokuwa wanajitanua kwenye hii nchi yao tangu JPM aingie madarakani.
Kumbuka watu walivyo kuwa wana furahia usalama wa nchi yao. Mabasi kutembea usiku na mchana.
Pengine wewe pia ni mnyonge ila hujijui, siku ukijijua utaona namna JPM alivyo kugusa pengine kwenye miradi mbalimbali.
Rest easy our Hero.
Alikuwa na ukwasi mkubwa SanaAliyekuwa anaita watu wanyonge amekufa na utajiri wa kutisha sasa wewe endelea kuitwa mnyonge
Wamarekani waliona mbaliSifa kubwa ya 'wanyonge' ni watu wasiojielewa.. wanajua shida ni kiungo mojawapo kwenye mwili. Hawajui nini kinatakiwa au kilitakiwa kufanyika, hawajui kazi ya watawala wao ni nini.
Ndio maana Marekani walitilia shaka uwezo wa 'wanyonge' kuchagua kiongozi wa nchi, wakaamua watu wachache wenye busara(electoral college) ndio wachague Rais!
Aisee hawa jamaa ni wabishi kupita maelezo, ni wajuaji na kumbe hawajui kitu.Mnawasaidiaje hao wanyonge?
Msiwalaumu tu.
Huyu mzee alikuwa mjanja sana! Alijua ili usifiwe ujifanye unawajali masikini na ambao hawaja soma. Akiwapa fedha barabarani hao alio kuwa anawaita wanyonge basi wanadhani ni kweli, kumbe mpigaji mkubwa.Hapa nakupa tano mkuu.Jiwe anajifanya raisi wa wanyonge wakati yeye hana unyonge wowote.Ni kipindi cha kuanza kuibua waziwazi upigaji wa Jiwe .Mimi naanza na zile Trilioni 1.5 zilizoibuliwa na Profesa Assad ambazo hazina maelezo mpaka leo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku zote mwenye shida ndio huumia mtetezi wake anapoaga dunia.
Umeandika sana pumba hapa. Kumbuka tu Machinga, Mama ntilie na Bodaboda jinsi walivyokuwa wanajitanua kwenye hii nchi yao tangu JPM aingie madarakani.
Kumbuka watu walivyo kuwa wana furahia usalama wa nchi yao. Mabasi kutembea usiku na mchana.
Pengine wewe pia ni mnyonge ila hujijui, siku ukijijua utaona namna JPM alivyo kugusa pengine kwenye miradi mbalimbali.
Rest easy our Hero.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora niitwa nyani kuliko "Mnyonge"
Mkuu sorry na wew ni mnonge au unatamani kuwa mnyonge?Na msaliti mzee wa MIGA Lisu anashangilia sana.
Amefikia hatua ya kuionea aibu maiti kwamba kwa nini inaliliwa sana
Then what!!! Baada ya mtukufu kuzikwa wanarudi kwenye mediocrity life yao kama awali...Wanamfagilia "Marehemu" kwa jina la "Chuma" eti kisa aliwafanyia "ukuda" "walio juu" hadi "wakaheshimiana" na wanyonge.
Aisee hii maneno ni ukweli kaabisa!Umaskini na Roho mbaya vinatembea pamoja.
Kaongeza idadi ya wanyongeIla kainyosha sana nchi...
roho mbaya inakuja kwasababu umaskini unaadhiri akili ya mtu.Umaskini na Roho mbaya vinatembea pamoja.
Mfano mshahara wa mwaka gani na mwezi gani? Wew ni mnyonge pia?? Mana siyi kwa akili hizoKunamtu mmoja leo kaniambia kipindi cha kikwete ilikuwa inapita miezi miwili bila mshahara...aisee tz wajinga ni wengi sana
roho mbaya inakuja kwasababu umaskini unaadhiri akili ya mtu.
ile hali inamfanya mtu aamini kuwa mtu hawezi kufanikiwa kirahis.
ndio maana akitokea mtu kati ya masikini kafanikiwa.. utasikia yale maneno " free mason", katoa kafara, fisadi, anashirikiana na mabeberu.
kwao its impossible mtu kufanikiwa. wanatamani afilisikie arudi kama wao. ndio raha yao
Ni kweli mkuu.Na maskini unaweza mdanganya na mambo madogo sana!Huyu mzee alikuwa mjanja sana! Alijua ili usifiwe ujifanye unawajali masikini na ambao hawaja soma. Akiwapa fedha barabarani hao alio kuwa anawaita wanyonge basi wanadhani ni kweli, kumbe mpigaji mkubwa.
Hiyo ni pie! 22/7Uko sahihi..."kuna mzee mmoja aliwahi niambia mwaka jana kwa sasa yupo UK kwa mwanae anasema Maskini wana roho mbaya sana"....ilikua natoka Songea kurejea Dar
Hebu tufungue macho mkuu..jama kafa na utajiri/mali gani?Aliye kuwa anawatetea wanyonge kafa na utajiri mkubwaaa! Very big challenge.