Nina m5,naweza pata gari ndogo used?

Nina m5,naweza pata gari ndogo used?

nyabaheta

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
247
Reaction score
82
Habari wadau,kama inavyojieleza hiyo title.

Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
 
Kwa pesa hiyo utapata gari mbovu ambayo kuitengeneza itakukost zaidi ya hiyo 5M.
 
Habari wadau,kama inavyojieleza hiyo title.

Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
Ongeza moja nikuuzie Suzuki Vitara 3-Doors,running and in excellent condition.
 
Mkuu nyabaheta, ntafute kupitia; 0754 754 593, nna chassser rafine 4 cylinder, metallic, running and paid everything!
 
Last edited by a moderator:
Nina Cresta Baloon gx90 4cylinder kama ilivyo 4 inamatengezezo madogo kama tyre vioo vya side na indicator light tu maongezi yapo picha nitakuwekea ukihitaji
 
Back
Top Bottom