Nina laki 5 natafuta simu inayotunza chaji muda mrefu

Nina laki 5 natafuta simu inayotunza chaji muda mrefu

Tecno c8 na c10 zinafaa mnooo chaji siku mbili na chenji itabaki
 
ile ya 4g mpya, bei zake ni around 99-120 usd (200,000-250,000) ila zikiwa huko nje, zikija huku maybe around 300,000

Mkuu ety window 10 imetoka??? Na kama imetoka hii lumia 540 itakuwa na uwezo wa kupokea hiyo updates??.ahsanteh!
 
Mkuu ety window 10 imetoka??? Na kama imetoka hii lumia 540 itakuwa na uwezo wa kupokea hiyo updates??.ahsanteh!

Windows 10 ya simu bado mwezi wa 10 au 11 ndio itatoka na hio 540 itapata hio updates
 
nimewahi kutumia Samsung Galaxy S5 kwa muda fulani pia hujitahidi sana kutunza chaji ukilinganisha na smartphone nyingi , ila kwa budget yako S5 Huwezi kupata kwa bei hiyo may be iliyotumika
 
Mimi natumia samsung galaxy prime lte,umeme hata ukatike siku mbili sina pressure, youtube,jf,music kawa kawaida,tatizo sipendi samsung tangu zaman kwahyo siikubal kwa brand name
 
mkuu kuwa na cm yako ya nokia tochi au tecno na itell halaf uwe unatembea na cm mbili. mi nafanya hvo. natumis smart4n ya sony experia z3 na balaa cjawah lalamika. ila bei yake ndo kimbembe co zaid ya m2 na ni water and dust proof. and unremovable battery. pia power bank zinasaidia mno
 
Ndugu yangu hakuna smartphone inayokaa na chaji yangu inakaa massa kami na sita tu inazima
 
JIPANGE SANA KUPATA HIYO SIMU.. NADHANI SIO KATIKA ULIMWENGU WA LEO...LABDA USIWE UNAWEKA 3G & 4G DATA MASAA YOTE ON..LAKINI HATA HIVYO, NI SIMU CHACHE ZENYE UWEZO WA KUKAA NA CHAJI MUDA MREFU:msela:
 
mkuu kuwa na cm yako ya nokia tochi au tecno na itell halaf uwe unatembea na cm mbili. mi nafanya hvo. natumis smart4n ya sony experia z3 na balaa cjawah lalamika. ila bei yake ndo kimbembe co zaid ya m2 na ni water and dust proof. and unremovable battery. pia power bank zinasaidia mno

basi walikupiga hela z3 mili 2?
 
Punguza group za WhatsApp na upunguze kuchart jf charge itakaa sana
 
Xperia Z2 itakufaa sana if you are a heavy user,
Kuna room mate wangu anayo ni nyoko aisee coz anacheza hd games muda mwingi,data haizimwi ila kitu kinagonga hardly siku mbili sema kuipata itakubidi uongeze pesa kidogo tu hapo..Kama uko willing try it you won't regret it man!
 
Tatizo hela yako ndogo vumilia tu, au nunua na power bank ili usikwame
 
Xperia Z2 itakufaa sana if you are a heavy user,
Kuna room mate wangu anayo ni nyoko aisee coz anacheza hd games muda mwingi,data haizimwi ila kitu kinagonga hardly siku mbili sema kuipata itakubidi uongeze pesa kidogo tu hapo..Kama uko willing try it you won't regret it man!

ni kweli ipo vizuri? nataka niongeze pesa nikanunue
 
Back
Top Bottom