juakal
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 587
- 125
Hakuna smartlphone inayotunza chaji
Labda unaongelea tecno
Hakuna smartlphone inayotunza chaji
Nina LG G3 nicheki nikubariki nayo
Z2 inakaa na charge bt nay ni kubwa 2 kama note 2
ni kweli ipo vizuri? nataka niongeze pesa nikanunue