Nina kipaji cha kutunga nyimbo

Nina kipaji cha kutunga nyimbo

MARCKO

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
2,258
Reaction score
275
Kwa hesma kubwa na taadhima, nawasalimu nyote wana-jf.

Mimi ni mwalimu wa sekondari niliesomea uwalimu kwa opportunity tu, na siyo "inness" yangu.

Nilitamani sana baada ya six niende kusomea muziki Bagamoyo ila Ndugu zangu walinikataza. Ninayo BA(Ed) kutoka UDSM-DUCE(2011).

NINAWEZA KUTUNGA NYIMBO KWA KUTUMIA VINA KWA MUDA MFUPI , NA IKAPENDEZA.

Naombeni msaada Ndugu zangu wa JF huenda nikatoka ki maisha, na hasa ikizingatia nina miaka 26 sasa.

Hata mawazo ni msaada.
 
Kibongo bongo kuuza lyrics bado sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nitaamini vipi?kabla sijakubali kuwa mfadhili wako, ebu shusha mistari kidogo

umesema nishushe mistari kidogo
Sina hiyana nitakushushia mizito kama gogo
Basi mwezangu mbongo usinipe kisogo!
 
umesema nishushe mistari kidogo
Sina hiyana nitakushushia mizito kama gogo
Basi mwezangu mbongo usinipe kisogo!

Bado sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
umesema nishushe mistari kidogo
Sina hiyana nitakushushia mizito kama gogo
Basi mwezangu mbongo usinipe kisogo!

watu wanataka mistari yenye swaga wewe.
 
Mkuu tengeneza nyimbo na uangalie msanii ambaye unadhani akiuimba kwa melody uliyotengeneza wimbo utahit kisha ongea

naye akikubali unamuuzia huo wimbo uwe makini kulinda haki ya wimbo wako kabla hujapewa chako!..

Cheki na Bongo Record
hili wazo pia ni zuri hawa maproducer wanajua wimbo wa namna gani unamfaa nani hivyo ukiwa na mashairi mazuri

anaweza kukuunganisha na wasanii wengi!..
 
umesema nishushe mistari kidogo
Sina hiyana nitakushushia mizito kama gogo
Basi mwezangu mbongo usinipe kisogo!

duh , aim out of here my people need me ...
 
Back
Top Bottom