Nina kazi kubwa ya ofisini ya 'ku type' lakini nimeona nipige picha then na convert kwenda PDF then kwenda Word then

Thanks Chief
 
Njia rahisi ni kuchagua option ya print, utaona kuna print to PDF, ukiichagua inakuwa page kuonyesha kama unataka kusave kwenda pdf unaendelea hapo kwa kubonyeza PDF inakuwa kwa circle juu Kulia bonyeza chagua folder save.

Unachagua save to PDF badala ya kuchagua printer kama unayo au hauna.

Jaribu hii nitafurahia, easy kutoka word doc, spreadsheet (excel) n.k.

capitrait
 
Nimejaribu Chief, lkn sikufanikiwa. Kila nikitaka ku copy maneno ina copy picha yote japo file linaonekana ni pdf au hata word lkn haiwezi ku copy hayo maneno

sasa kama umepiga picha ni lazima ijikopi kama picha mkuu,, hapo type tu hamna namna
 
Naombeni niwashukuru sana kwa dhati kila mmoja mmoja kwa michango yenu ilionisaidia ..... Ahsanteni SANA watu wa JF
 
Hii kitu nimewahi kuifanya na nilifanikisha kwa kutumia camscanner
Piga picha ikonvert to pdf then utacopy words to document
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…