Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Status
Not open for further replies.
Kwanza je umeshawahi kugegedwa au kugegeda? Na maziingira, shule uliyosoma na jina na mavazi yote hayo unatuia ya jinsia gani?
 
Hii issue naona ni completed kidogo kutokana na maisha yetu!!!

Endapo una uwezo, busara ni kwenda hospitali kufanyiwa vipimo ili hatimae wafahamu ni jinsia ipi ipo productive... issue sio kudinda; je upo productive as a male?!

Kama hauna uwezo huo, kwa maoni yangu ni bora uishi kama mwanaume na kuoa. Mawazo yangu hapa ni kwamba, ni rahisi kuishi na mwanamke (kama mkeo) huku akijua kwamba pia una papuchi kama yeye kuliko kuishi na mwanaume kama mumeo huku akijua nawe una ukuni unaopiga mzigo kisawa sawa!

Unless mwanaume mwenyewe awe na elements za kishoga... yaani wale wanaopiga na kupigwa vinginevyo, mwanaume rijali kweli kweli, hapana aisee!! Ngumu kui-expose makalio daily kwa "mwanaume" mwenzako tena ukiwa umelala!!!
 
Hivi ukiwa na jinsia mbili na zote ziko active unaweza ukajitia mimba, yaani kama vile unapiga chaputa then unachukua shahawa unaziweka upande wa pili at the end of the day u become a mother and a father of your own kid.
Hakuna mtu mwenye jinsi mbili zote zikawa active...NO WAY!
hizi story tu, i dont buy...[emoji20]

endeleeni kumshauri.
 
Hamjambo wana jf,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini.

Kibayolojia nina jinsia mbili.


Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.
Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo.
Nina dinda pia naona siku zangu.

Nna dunja (maziwa)
Kidogo.

Siku naona kamakawaida.

Naogopa sana kujulikana,

Naomba msaada wapenzi.
njoo nikuoe
 
Kuna terms za JF kwa mgeni kutumia kidogo pana ukakasi mfano kugegeda!, anyway!!!, ila na kingine kuwa na jinsia mbili ni kawaida ila zote kuwa active ndo inashangaza pole sana

Ushauri kama ya kiume ipo active bora uoe tu jitahid umpate mwanamke mwelewa muelezee kila kitu ulichonacho, ila ukiolewa daaaah inahitaji moyo kidogo yaani jamaa akikugegeda anaiona dushe yako hapo inakuwa kama kang'oa punga hiv haina hata mzuka
 
Muomba ushauri hajibu maswali! Nasubiri jibu la swali hili! Ulishawahi fanywa? Ulijisikiaje? Mtu mwenyewe huna mapu..mb... Unataka ukamuoe nani? Mwanaume Ukiwa huna map*mbu tayari we kazi huna yaani ni sawa na gari bila injini hapo tutaita jahazi au toroli? Nikushauri tu itapendeza ukiolewa au uendelee kupumuliwa! Waone madaktali wakupime Kwa maelezo zaidi
 
Ukiwa unafanya na kufanywa kupi unaona kutamu zaidi maana hilo ndiyo la msingi zaidi?
 
Kwanza nshawah kugegeda kibish hii ya upand huu inakua dormant mda huo,

Kimaumbile sina mapumbu mkuu. Kwa chini ndo k ilipojitega.
basi jinsi ya kike ndo ina nguvu. Je ulimwaga mbegu ulipokwichi kwichi..
 
We bado bikra? kama sio mpenzi wako huwa anakudunyua au unamdunyua!
 
Hamjambo wana jf,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini.

Kibayolojia nina jinsia mbili.


Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.
Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo.
Nina dinda pia naona siku zangu.

Nna dunja (maziwa)
Kidogo.

Siku naona kamakawaida.

Naogopa sana kujulikana,

Naomba msaada wapenzi.
Duh sasa kabla ya kushauriwa je unawatafuna au unatafunwa?
 
Hivi ukiwa na jinsia mbili na zote ziko active unaweza ukajitia mimba, yaani kama vile unapiga chaputa then unachukua shahawa unaziweka upande wa pili at the end of the day u become a mother and a father of your own kid.

hahahaha hivi watu mnawaza nini
 
kumbe mapumbu huna ndo bas tena mkuu pole sana. we ni binti kigori tu mwenye bikra. Jinsia yako itutakie siku njema.
 
Nenda kwa daktari akuchunguze ipi inafanya kazi sawsawa yaani aangalie mayai ya kike na mbegu za kiume zipi zenye nguvu zaidi. Akuangalie mfuko was uzazi kama una uwezo was kubeba mtoto.
Kama vyote vitakuwa sawa ytaangalia mwenyewe ni wapi unapata raha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom