Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Status
Not open for further replies.
Kama unazo zote mbili huna sababu ya kuoa wala kuolewa
Jiozeshe mwenyewe mwenyewe lah UA moja kati ya jinsia moja ili ubaki na ya kuolea au kuolewa
 
Sasa kama una jinsia zote basi haina haja ya kutafuta msaada maana unaweza kujihudumia
 
Hii mada inahitaji hekima na busara pamoja uweledi wa Kidaktaji.Ingawa mimi si Daktari lakini napenda kabla ya kutoa maoni yangu mleta thread anisaidie kwa kufunguka zaidi.
1.Umeomba ushauri wa aidha uoe ama uolewe kwa kuwa una jinsi mbili na kwa maelezo hayo bila shaka wewe si mtoto.
2.Umedokeza kuwa hivi viungo vyako adimu vyote vinafanya kazi.
SASA SWALI:
1.Je umewahi kujaribisha kiungo kimojawapo? iwe uke ama uume na kuthibitisha kama zinafanya kazi sawa sawa?
2.Unaitwa nani eg.Maria au Jumanne
3.Wazazi wako ambao nina hakika wanakufahamu tangu utotoni wana maoni gani
4.Una sifa zipi zaidi zinazotofautisha jinsi hizi.
 
una raha wewe chamsingi mtafute mwenzio mwenye hali km yako mpeane raha na majukumu mtoto wa kwanza anazaa huyu wapili anazaa huyu nadhani itapendeza zaidi
 
Hamjambo wana JF,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.

Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.

Naogopa sana kujulikana.

Naomba msaada wapenzi.
Olewa ukagongwe
 
Hii kitu ni ngum sana kumeza...haiwezekani zote zikapiga kazi....
 
Fanya uchunguzi kati ya kama unaweza beba ujauzito au unaweza mpa mtu ujauzito kisha chagua moja
 
Hii mada inahitaji hekima na busara pamoja uweledi wa Kidaktaji.Ingawa mimi si Daktari lakini napenda kabla ya kutoa maoni yangu mleta thread anisaidie kwa kufunguka zaidi.
1.Umeomba ushauri wa aidha uoe ama uolewe kwa kuwa una jinsi mbili na kwa maelezo hayo bila shaka wewe si mtoto.
2.Umedokeza kuwa hivi viungo vyako adimu vyote vinafanya kazi.
SASA SWALI:
1.Je umewahi kujaribisha kiungo kimojawapo? iwe uke ama uume na kuthibitisha kama zinafanya kazi sawa sawa?
2.Unaitwa nani eg.Maria au Jumanne
3.Wazazi wako ambao nina hakika wanakufahamu tangu utotoni wana maoni gani
4.Una sifa zipi zaidi zinazotofautisha jinsi hizi.
WAZAZI.
NIKO MBALI NAO KWA SASA. HATA HAWANA MPANGO NAMI TENA KWA NAMNA FAMILIAR YETU ILIVYO,

VIUNGO.
NAPENDELEA KIUNGO ME ZAIDI, SASA NADHANI NI KWAKUA HISIA NAZIWEKA HUKO ZAID,
 
Hii mada inahitaji hekima na busara pamoja uweledi wa Kidaktaji.Ingawa mimi si Daktari lakini napenda kabla ya kutoa maoni yangu mleta thread anisaidie kwa kufunguka zaidi.
1.Umeomba ushauri wa aidha uoe ama uolewe kwa kuwa una jinsi mbili na kwa maelezo hayo bila shaka wewe si mtoto.
2.Umedokeza kuwa hivi viungo vyako adimu vyote vinafanya kazi.
SASA SWALI:
1.Je umewahi kujaribisha kiungo kimojawapo? iwe uke ama uume na kuthibitisha kama zinafanya kazi sawa sawa?
2.Unaitwa nani eg.Maria au Jumanne
3.Wazazi wako ambao nina hakika wanakufahamu tangu utotoni wana maoni gani
4.Una sifa zipi zaidi zinazotofautisha jinsi hizi.
Naitwa nuru,

Nnasifa kama za tomboy hvi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom