Nina hasira za karibu. Naachaje hii tabia?

Nina hasira za karibu. Naachaje hii tabia?

Kuasirika haraka kunasababishwa na tress za maisha, kama kuna mambo hayaend vizuri, mtu akikuongekesha Mara nyingi utaona ni upuuzi na kumjibu vibaya. Eg kama uchumi umeyumba lazima kuwa na hasira za karibu.

Au kama mahusiano yako yamevunjika etc. Kinachokusumbua kikikaa vizuri utaona tofauti.
 
Tunaziita "HASIRA MKURUPUKO".

Mara nyingi huwa zina majuto tena ipo siku utajutia zaidi. Au zitakupelekea kuishia pabaya sana.

Mara nyingi huwa mnakuwa wakorofi. Kila kitu ukiguswa tu, basi unawaka.

Ila kwakuwa umelifahamu tatizo lako , utajitahidi kuji-contro.
natamani kujua mbinu za kukabiliana nalo.
 
Mostly hiyo tabia ndo inanifanya naharibu mahusiano yangu.
 
Kaa mbali na hizo kero zinazokufanya uwe katika hali hiyo..Kama mtu anakukwaza toka eneo la tukio..jikalie zako Kama chumbani ay nje ukijisikia kulia Lia.. Kama ni simu kaa nayo mbali ili isiwe sababu ya kuandika hayo uliyoyajaza kufuani.

Na kingine ukijua hakuna aliyemkamilifu yote kwako yatakuwa ya kawaida tu.
 
Kaa mbali na hizo kero zinazokufanya uwe katika hali hiyo..Kama mtu anakukwaza toka eneo la tukio..jikalie zako Kama chumbani ay nje ukijisikia kulia Lia.. Kama ni simu kaa nayo mbali ili isiwe sababu ya kuandika hayo uliyoyajaza kufuani
Na kingine ukijua hakuna aliyemkamilifu yote kwako yatakuwa ya kawaida tu.
Wise Advice, asante sana
 
Pole sana. But njia rahisi ni kujifunza the art of being understanding. Utaweza vipi, everytime unakutana na situation ngumu ku handle look on the positive side. Mume amekunyima hela ya kufanya jambo flani...try to think pengine ana save kwa ajili ya kufanya jambo la maana zaidi kwa ajili yenu. Usianze kuwaza unanyanyasika...utaishia kupayuka hovyo na kumboa mwenzio.

Mume amechelewa kurudi home, badala ya kuanza kuwaza alikuwa kwa mchepuko ukaanza kujinunisha na kumropokea mineno ya kishenzi, anza kwa kuuliza you never know gari ilipata hitilafu au alipata emergency nyingine njiani. Maelezo atakayokupa yapokee positively achana na maswala ya kumchimba chimba...
Nimegain kitu, asante sana
 
Kila mtu ana njia ya kutoa maumivu yake moyoni, hivyo wewe kuropoka kwako ndiyo njia yako ya kutoa ya moyoni kwa maana ya kuwa usipofanya hivyo lazima utapata shida kubwa kihisia kwa kutunza vitu ambavyo hujavitoa.

Lakini kwa kuwa njia hiyo unaona siyo nzuri kwako inabidi utafute njia nyingine ya kutoa hisia zako kwa kuwa huwezi kukaa na kitu moyoni vinginevyo utadhurika zaidi.

Kuna njia nyingi kwa kutaja chache...
asante, namba 2, na 3 nadhani itanifaa zaidi, hiyo 1 itanizidishia maumivu na upweke
 
Salam wapendwa, nina hii tabia ya kuwa na hasira za karibu (short temped), na nikichukia huwa sipati subra ya kukaa kimya yaani naropoka maneno makali mno, mpaka kuna muda siamini kama ni mimi ndo nimeongea hayo maneno, tatizo nimelijua.

Sasa nawezaje kujicontrol maana najikuta narudia rudia kosa nakuja jutia baadaye. Nimemropokea mubebe once, this time kaninunia.

Naombeni ushauri nifanye nini niepuke hii hali wakuu, nijicontrol vipi eti?

Wasalaam!
Hakikisha ukiwa unakula unashiba kabisa, Mazingira unayoishi yawe Safi kabisa,majukumu ya kila siku uwe unamaliza vizuri kabisa, na upate muda wa kupumsika wa kutosha , inaonekana huna utulivu wa nafsi ,
 
Salam wapendwa, nina hii tabia ya kuwa na hasira za karibu (short temped), na nikichukia huwa sipati subra ya kukaa kimya yaani naropoka maneno makali mno, mpaka kuna muda siamini kama ni mimi ndo nimeongea hayo maneno, tatizo nimelijua.

Sasa nawezaje kujicontrol maana najikuta narudia rudia kosa nakuja jutia baadaye. Nimemropokea mubebe once, this time kaninunia.

Naombeni ushauri nifanye nini niepuke hii hali wakuu, nijicontrol vipi eti?

Wasalaam!
1.Fanya maombi kwa imani yako mueleze Mungu tatizo muombe akupe mbinu za kulitatua...aidha kama unataka kubadilika kabisa muombe Mungu akujalie roho ya upole/ukimya/usikivu nk

2.Self meditation-jiulize kwanini nina hasira hivi,kwanini natoa maneno makali hivi?nyakati zipi ndio nakuwa hivi?inachochewa au inasababishwa na nini?..tumia muda uandike pembeni inasaidia
Google zaidi Anger Management

3.Muone mtaalamu wa Saikolojia/Therapist
Mueleze ushajua tatizo na unataka kujielewa zaidi na kubadilika ufanyeje...
Wanajua sana watakusaidia

Nilikua na shida hiyo...kutokana na malezi na mapito flani flani...
Niko vizuri sana kwa sasa...wanasema mi mpole..nafsi yangu imetulia sana najielewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom