Kama jinsia ya kiume hili jambo linanitesa mno; nina tabia za kike

Visacard

JF-Expert Member
May 12, 2017
233
215
Nianze kwanza kwa kumshukuru mungu
Pili nawapa pole sana ndugu zangu wa dar kwa mafuriko na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini
Sio dar tu ndugu zangu hata huku Arusha nilipo hali ya mvua ipo kama dar

Nisiwachoshe niende moja kwa.moja kwenye mada:-
Am under 25 yrs nataka niingie kwenye mahusiano na binti mmoja hivi but nina shida hii
Ili tatizo linanitesa mno kiukweli na vijitabia ambavyo sio vya kiume
Ipo hivi
Wengi hawajui nilivyo nipo kama gentlemen kawaida ila nikishakua na mazoea na mtu lazima hivyo vijitabia vionekane

Tabia haifichiki ninajitahidigi kuficha hii tabia kwa watu mbalimbali ila mwisho wa siku lazima wanigundue tu kuwa nina tabia flan flan hivi

Naweza hata nikazungumza bila kujijua. kumbe kuna tabia nimezionyesha

kuna hadi akanambia flan una tabia za kike sometimes you need to change

Ni baada ya kubishana naye jambo flan hivi kiukweli nimeumia mno baada ya kunambia hivyo.

Nimejikaza kigentlemen wengi hawajui ila wakaribu yangu washaanza kunijua na kunizoea na hii hali

Nafikiria nikiingia kwenye mahusiano itakuaje????

Najua nitaificha hii tabia.ila mwisho wa siku itakuja kujionyesha tu

Jee kuna za hili tatizo???

kuna msichana anaweza akawa na men mwenye tabia flan hivi za kike hivi na akaridhika kuwa naye???

Nahitaji ushauri wenu hii hali siipendi na nawazaga nifanyeje ili niweze kujicontrol iondoke kabisa coz najikazaga at the end of the day mtu ananigundua tu

tabia zinazonitesa
-kucheka
-kuongea (sina bass)
-Macho
-kuonyesha mikono na vidole wakati naongea
-Kukunja uso sometimes
-Maneno. mengi
NB: AM NOT A GAY

Mwisho nitoe samahani kwa mwandiko wangu mbovu

ushauri wenu ni muhimo mno sjawah mueleza mtu yoyote hili jambo
asanteni
[HASHTAG]#Chuga[/HASHTAG] [HASHTAG]#boy[/HASHTAG]
 
Hizo tabia za kike zipoje? Ungeweka wazi tukusaidie kijana. Wataalamu wa Guidance and counseling tupo.

Btw: umenunuliwa kwa damu ya thamani.... jikubali na usikubali mtu awaye yote akudharau.
 
Back
Top Bottom