Nina hamu kweli leo!!!!!!!!!!!!!!!!

Nina hamu kweli leo!!!!!!!!!!!!!!!!

yaani nakutamani kishenzi we toto la pwani

Unanitamani au unamahanjamu na mimi nitonye......!!!!!!!!!!!
Yani tuko huku Tanga ni full Utamu kwa kwenda Mbeleeeeeeeeee..............!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Unanitamani au unamahanjamu na mimi nitonye......!!!!!!!!!!!
Yani tuko huku Tanga ni full Utamu kwa kwenda Mbeleeeeeeeeee..............!!!!!!!!!!!!!!!!

Baba V yupo huko maana anatafutwa na familia yake? Usiku mmoja tu mimi unanitosha
 
Last edited by a moderator:
mie nadhaani unahamu ya kutumbuliwa kipele
Nina hamu ya kukesha leo, mtu yeyote asiye na usingizi aje hapa tukeshe mpaka majogoo tukipiga soga
Karibuni kibarazani, hapa nina tende na halua na kibirika cha kahawa pembeni

kh2.bmp

GOND%20MAKHANA%20HALWA.jpg

Dates-Fruit-in-Plate.jpg
 
Ndo nini kututamanisha wenzio!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! haya mum enjoy......:becky:
 
Hivi we chalii utaacha lini kunifuatilia....na huyu nae wamtaka pia?

nilikuwa namsalimia tu usiwe na wasi. Ila ukiendelea kumfuatsfuata sweetylady lazima nikushushe busha
 
Last edited by a moderator:
tutakesha wote, mimi pia leo nipo tuuuuuuuuuuuuu

Back
Top Bottom