Nina hamu kweli leo!!!!!!!!!!!!!!!!

Nina hamu kweli leo!!!!!!!!!!!!!!!!

kazi naanza Januari 15.
Niko huku Makunduchi kuna mkesha wa KIDUMBASI na MSEWE, mie iko chumbani nimejifungia nimechoka kucheza

mmh binti wewe kwa pilika na shughuli sikuwezi....
na nikija huko lazima nikusake...
 
Bado hujalala kweli hadi saa hii?! Subiri kidogo huyo wa pembeni yako hapo ulabu ukimpungua kichwani atakupa ucngizi
 
Bado hujalala kweli hadi saa hii?! Subiri kidogo huyo wa pembeni yako hapo ulabu ukimpungua kichwani atakupa ucngizi

hakuna walevi huku kama huko kwenu bara
 
Nani alale!!!!! Watu mpaka majogoo!

Ningesangaa sana, binti wa kujirusha ka wewe ulale uchekwe

Mie niko huku viunga vya Makunduchi ngomani, haya weye uko anga zipi. Bilicanas au Maisha club au LE ROUG hapo HYATT KILIMANYEGE
 
Nina hamu ya kukesha leo, mtu yeyote asiye na usingizi aje hapa tukeshe mpaka majogoo tukipiga soga
Karibuni kibarazani, hapa nina tende na halua na kibirika cha kahawa pembeni
Mie napita tu usiku huu, lakini ningeahidiwa tende ningebaki!
 
haya kila mmoja achukue kikombe chake cha kahawa tuendelee na soga

kahawa-dar-living.jpg
 
wengine uliowataja wanaboresha ndoa muda huu...

sipati picha, jinsi wanavyoning'inia kama vile wanapanda kwenye mikarafuu

kwa raha zao.
mbona wenzetu wanafaidi, lakini kwa wale wa Dar na hili joto, labda kama wana kiyoyozi, lakini kama ni wenzangu na mie hilo gwaride wala feni halifai kitu
 
Hebu ngoja nikaucheze msewe mie, naona hakuna mkeshaji humu

IMG_4086.JPG
 
sipati picha, jinsi wanavyoning'inia kama vile wanapanda kwenye mikarafuu

kwa raha zao.
mbona wenzetu wanafaidi, lakini kwa wale wa Dar na hili joto, labda kama wana kiyoyozi, lakini kama ni wenzangu na mie hilo gwaride wala feni halifai kitu

kwa Dar watu wanatumia staili ya bluutusi kucheza kale kamchezo....ni viungo muhimu tu ndio vinahusika kugusana
 
Haya nipo kibarazani naucheza msewe kama yuko mkeshaji ani PM, nitakuja tupige soga
 
kwa Dar watu wanatumia staili ya bluutusi kucheza kale kamchezo....ni viungo muhimu tu ndio vinahusika kugusana

hiyo wala hainogagi, inatakiwa makojoleo yakutane ndio mtu anafaidi
 
kwa Dar watu wanatumia staili ya bluutusi kucheza kale kamchezo....ni viungo muhimu tu ndio vinahusika kugusana
watu8 naomba ukeshe na mie yah habibi, unajua nimeboeka kweli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom