Nina hamu kweli leo!!!!!!!!!!!!!!!!

Duh, kila mtu kauchuna ngoja niendelee kutegeshea, labda atajitokeza mtu hapa asiye na usingizi
 
Nimejitolea kukesha na wewe! Twenzetu hadi swala. . .swala. . .
 
Napita tu, japo najua kuna mlioshindwa kukesha.............:target::target::target:
 
Zinduna hayo ndo madhara ya kunywa kahawa pole bishost
ila halwa zinatamanisha mbaya
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nina hamu ya kukesha leo, mtu yeyote asiye na usingizi aje hapa tukeshe mpaka majogoo tukipiga soga
Karibuni kibarazani, hapa nina tende na halua na kibirika cha kahawa pembeni








Hata mimi nina hamu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Zinduna watu watakimbilia huu uzi wako wakijua una hamu ileeee ndo maana hata Watu 8 amekimbilia huku
 
Last edited by a moderator:
Zinduna watu watakimbilia huu uzi wako wakijua una hamu ileeee ndo maana hata Watu 8 amekimbilia huku
Mnaondoka saa ngapi huko wapendwa? Nakusubiri sana mr mwamba nikuone! Karibu tanga chuda raha makorora tunadeka
 
Last edited by a moderator:
Zinduna watu watakimbilia huu uzi wako wakijua una hamu ileeee ndo maana hata Watu 8 amekimbilia huku

Hahaha...nilimpa kampani baadae nikaanza kuona mtoto anilalia, nikachapa lapa faster na Fast Jet...
 
Last edited by a moderator:
Zinduna umenizingua sana! Nimekuja spidi mpaka naanguka nikadhani una hamu ya kunaniliiwa.. khaaa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…