Nina hamu kubwa na Bann.

M PM Paw, umweleze atakusadia right away, kuna mtu aliwahi kuomba ban humu akidhani ni utani na akalimwa ban kikweli kweli, so be careful on what you wish.
 

angalia hyo ban icje k ukuangukia wewe mkuu.
 
Vp tena wa kusoma mbona simuoni,natumia cm,vp kashakula ban nini? Kama ndio safi sana kwa mod aliyempa maana JF watoto wa form iv kibao wanatujazia sred za upupu.
 
Kama una hamu yakweli m'pm mphavu akufundishe maana yeye ni mzoefu wa ban
 
Hivi mods hawana kipimo cha kujua kama wanaoingia humu ni watoto au la........Halafu mmempa senior expert member
 
Hajala mtu bann wewe, anayejiamini si aje tuwekane sawa hapa? Nani kawaambia mm ni f4? Tatizo mmewasiliana na Masaburi. Duh watu wote kimyaaaa, wapinzani wamepwaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…