Nina gundu sio bure

Huwezi amin kila napokuona humu siachi kuizoom...nilikufuatilia taratibu nikijua wewe ni ke ila nikagundua wewe kidume.
hatari sana Sheikh mmh! " sheikh kipozeo
 
Mkuu nashukuru sana. ..iv naweza kuja inbox kwa maelezo zaidi
 
Huwezi amin kila napokuona humu siachi kuizoom...nilikufuatilia taratibu nikijua wewe ni ke ila nikagundua wewe kidume.
Yaani we Daby comment zako bana...huwaga unachekeshaga sana hasa ukionaga mitakoo...

Macho yako yanaona masafa marefuu kapicha kadogooo hivyo umekaonaje??, au macho yako ni werevaa plus??
 
Yaani we Daby comment zako bana...huwaga unachekeshaga sana hasa ukionaga mitakoo...

Macho yako yanaona masafa marefuu kapicha kadogooo hivyo umekaonaje??, au macho yako ni werevaa plus??
Wit acha tu mpendwa...ila utani wang unaishiaga huku bwana
 
Ngang'ania wengine watasema wako kwenye mahusiano lakn hawamaanishi...ng'ang'ania huku ukitoa zawadi ndogo ndogo na uwe romantic
Uweza kuta yuko kwenye mahusiano kweli lkn hapati utakavompa so anaweza aka quite huko
😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 
Mkuu nahitaji tips
Unajua kutongoza ni sanaa eeh? Kwa hiyo usanifu na ubunifu ndicho kipimo.

Lakini pia kutongoza ni sayansi...unatakiwa umsome mwanamke organs zake zinavyoplay wakati unamtongoza.

Lakini pia kutongoza ni psychological phenomena. Unatakiwa umfanye a relux, uvute akili yake yote kwqko.

Haya yote yanahitaji mwanaume anaemtongza mwanamke. Ila kwa wavulana na wasichana huparamiana tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…