Nina Furaha kuu Rais kusaini Mswada-Ndugai

Nina Furaha kuu Rais kusaini Mswada-Ndugai

job Ndugai yeye ni poyoyo,kashindwa kulea familia yake ametelekeza watoto,uwezi amini ana kijana wake anasoma SAUT hata ada tu JOB ndugai hataki kulipa,ametekwa na kimada cha kipare,shame on you ndugai na wewe huko kupagawa kwako bungeni ni mwanzo tu na bado
 
Naibu Spika wa bunge Job Ndugai amesema ana furaha kubwa kusikia Rais ameshasaini mswada wa sheria uliokuwa unabishaniwa.

Akizungumza jana Ndugai amesema kwanza haelewi kinachobishaniwa kuhusu Mswada huo na bunge liliupitisha baada ya sheria na taratibu zote za kibunge kufuatwa.

Kuhusu kurejeshwa bungeni baada ya majadiliano ya wapinzani na Rais Kikwete Ndugai amesema kwanza wanaopigia debe suala hilo ni lazima wajiulize Je, kanuni zinaruhusu?

Kwanza sina uhakika kama mswada huu huu utarejeshwa ila ninachofurahi umeshasainiwa na Rais...'alisema Ndugai kwa Furaha.'

Source:Tanzania Daima.

Haya yalikuwa matarajio yangu kuwa kati ya watu ambao wangefurahi sana kusainiwa kwa mswada huo mbovu ni Ndugai kwani ndiye aliyeongoza bunge kupitisha mswada huo ambao ni kichekesho kwa kwa mtu yeyote mwenye akili timamu. Kinachonishangaza ni kuwa hata rais wa nchi ambaye nilidhani angekuwa na upeo mkubwa zaidi ya wenzake ambao sioni haya kuwafananisha na manyang'au kwani wanapora wazi wazi haki za watanzania kwa kisingizio kuwa taratibu zote zilifuatwa. Ama kweli aliyosema mwalimu ninayaona wazi wazi kuwa mtu mwenye akili akikushauri jambo la kijinga nawe ukalifanya anakudharau. Hicho ndicho washauri wa rais walichokifanya kumshauri asaini mswada hovyo na mbovu naye akafuata ushauri wao. Kwa kuwa washauri hao walimfahamu rais kuwa ataingia tu mkenge ndio sababu waliweza kuongea kwa kiburi kuwa hakuna nafasi ya kwenda kunywa juice ikulu. Ndugai ni janga la taifa la Tanzania pamoja na washauri wa rais katika suala hili. Ninaweza kuona ombwe la uongozi katika serikali ya awamu ya nne. sioni haya kusema tunayekiongozi asiweza kujisimamia mwenyewe. Hata mfano wa mbayuwayu ameshindwa kuufuata wa kuchanganya akili zake za alizopewa apate njia. Watu kama hawa sione ajabu makaburi yao yakijakufukuliwa na watoto na wajukuu zao.
 
"Akili ndogo akili ndogo tu",kuna wajinga waliamini JK hatasaini!!! Mulitegemea Wabunge wake awaambie nini???
 
Maskini Ndugai' haelewi hata dunia inaendaje!!!!laiti angejua what is going on!!!
 
kama kwel jk amesaini haya madudu basi naye anafikiri kima...s..a..bur.. na ataondoka kichwa chini pale magogoni na labda atakumbukwa na waliofeli msingi.
 
Tz kuwa na watu kama Ndungui ni janga la maendeleo na tija katika nchi, yeye alitakiwa kusikitika kuona hela za huyu mtanzania maskini zitatumika tena kujadili maboresho kwa sababu ya ujinga wa wabunge wengi wa ccm, wakiongozwa na spika aliye endesha kikao hicho.
 
Naibu Spika wa bunge Job Ndugai amesema ana furaha kubwa kusikia Rais ameshasaini mswada wa sheria uliokuwa unabishaniwa.

Akizungumza jana Ndugai amesema kwanza haelewi kinachobishaniwa kuhusu Mswada huo na bunge liliupitisha baada ya sheria na taratibu zote za kibunge kufuatwa.

Kuhusu kurejeshwa bungeni baada ya majadiliano ya wapinzani na Rais Kikwete Ndugai amesema kwanza wanaopigia debe suala hilo ni lazima wajiulize Je, kanuni zinaruhusu?

Kwanza sina uhakika kama mswada huu huu utarejeshwa ila ninachofurahi umeshasainiwa na Rais...'alisema Ndugai kwa Furaha.'

Source:Tanzania Daima.

Furaha kwa Rais ku-sign mswada uliopitishwa na wabunge wabovu siyo?
CCM bwana, akili nyuma ushabiki mbele...
 
fikiria Nyerere angekuwepo ndugai angekuwa naibu speaker kweli?

Imagine kama bunge hiki lingekuwa na wapinzani ambao wangekuwa 50-50 na hao CCM. Unadhani kwa akili zake za kibabe angeliweza bunge? Huyu anabebwa na akina Wasira na Lukuvi.
 
Naibu Spika wa bunge Job Ndugai amesema ana furaha kubwa kusikia Rais ameshasaini mswada wa sheria uliokuwa unabishaniwa.

Akizungumza jana Ndugai amesema kwanza haelewi kinachobishaniwa kuhusu Mswada huo na bunge liliupitisha baada ya sheria na taratibu zote za kibunge kufuatwa.

Kuhusu kurejeshwa bungeni baada ya majadiliano ya wapinzani na Rais Kikwete Ndugai amesema kwanza wanaopigia debe suala hilo ni lazima wajiulize Je, kanuni zinaruhusu?

Kwanza sina uhakika kama mswada huu huu utarejeshwa ila ninachofurahi umeshasainiwa na Rais...'alisema Ndugai kwa Furaha.'

Source:Tanzania Daima.

Kukosa akili na busara ni jambo moja, lakini kukosa uzalendo ni lingine. Mtu mwenye akili timamau kwa sasa angesema "pamoja na kusainiwa bado ni aibu kwa bunge kwani ni mara ya pili miswada inarudi bungeni"

Kwa upande mwingine ni nafasi ya wale waliokuwa wanalazimisha hoja kujipima na kujiuliza walikuwa na wanatetea maslahi ya nani? Na mwisho je! ni kuwatendea haki wananchi pale muswada unaporejeshwa bungeni kwa hati ya dharura? Ni matumizi mazuri ya muda na kodi zetu wananchi?

Kuna wakati I get irritated na watu wazima waliojaa akili za ki-vyama zaidi badala ya kuwaza kizalendo zaidi kwa maslahi ya Taifa. Ni vema ikumbukwe na wote kuwa Katiba ni kwa maslahi ya Taifa zima, hivyo siyo sawa wala siyo haki hata kidogo kulazimisha katiba kubeba matakwa ya chama chochote kwa sababu yoyote kwani siyo watanzania wote ni wanachama wa chama hicho. Pia ifahamike kuwa katiba inapaswa kuheshimu hata haki za wale wengine ambao hawana sauti ya kusikika au mvuto wa kuonekana kwani nao ni sehemu ya jamii katika nchi.

And that is what makes me wonder sometimes CCM wanawaza kwa kutumia akili za karne gani!!!!
 
Back
Top Bottom