Nina friends 5k fb, nipeni mawazo.

Nina friends 5k fb, nipeni mawazo.

Ally maganga

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
1,433
Reaction score
914
Ninafriends 5k fb
nifanye je hili niweze kupata pesa kupitia idadi hiyo ya friends fb?
 
Uzi mzuri napenda watu kama nyinyi watu wenye nia na ndoto za mafanikio maisha ya mbeleni!
Market => means people with money , ww tayari una idadi ya watu 5k (market) very good you are going to be a millionaire soon!
Fuata hatua hizi hapa:
1. Tambua kipaji na uwezo ulionao, na kwa kuwasoma watu wako wana fb akili zao na maisha yao kiuchumi
Then buni bidhaa au huduma ya kuwauzia utengeneze pesa,

2.uwezekano au njia gani utatumia kuwalisha hiyo bidhaa au huduma yako!

3. Timing, angalia kipindi au wakati yaani lini uwakamate na msimu upi haswa!


4. Mitaji inayohitajika kufanikisha adhima yako
Hapa sasa ubunifu wa bidhaa au huduma ulingane na uwezo wako, acha ndoto za mchana
Fanya kitu unacho kiweza
5. Njia na mbinu utakazo tumia ili ukombe pesa zao mifukoni ili uwe tajiri mkubwa na kutimiza ndoto zako
Wish all the best!
Kazi yako kubwa ipo namba moja! Kuwa makini sana
Tumia mda mwing kutafit
 
Kwanza wewe ni ke au me
Hao watu ulionao ni kina nani. Unaweza kukuta ni wote ni liability
Uliwapataje hadi kufikia hiyo idadi
Lengo lako lilikuwa nini.
Kama ni ke ukimwi unakunyemelea soon kwa idadi hiyo ya watu.
Kama ni me chunga sana una hatari.
 
Back
Top Bottom