nina elfu20 nataka baiskeli fasta

nina elfu20 nataka baiskeli fasta

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,941
Reaction score
3,261
nataka baiskeli nina 20 sasa hivi aina yoyote iwe inatembea nipo airport dar
 
Du haya baiskel kwa elfu20

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ngoja niwape elimu hapa hamna cha ajabu sasa iv kuna hadi blackery za elfu 50 kinachotokea mtu anakua na shida au simu ina matatizo kama kioo na nk hivyo mtu anakuuzia kwa shida au matatizo ya bidhaa as the same to me wakuu ni kawaida mtaani shida haina maana
 
Back
Top Bottom