Nina dollar 1000 kwa rafiki wa jamii forum for christmas

Mwenzangu, dili za pesa nazihusudu ile mbaya, ila hela ya huyu mwanamke sitaki kuigisa. For the next 10 years ataanza na thread '' nilimsaidia king' na konnie $300 wakasaidie yatima, wakaiba $100. Nilihakikisha kwa kutuma auditors wanne wa delloitte na wakakagua mahesabu kwa mwezi mzima. Niliwalaza kempinsk. Siamini wabongo na investments''

bora tu amtaje rutherford na heart patients. Hili dili fafa. Muambie achangie jf apate kibatani sijui cha nini ile. Hiyo atatamba nayo mwaka mzima.
mie nataka nandae chakula cha mchana cha watoto wa mazingira magumu

dola 300 zitasaidia, tumia account ya King'asti.
 
Last edited by a moderator:
Natalia, bahatimbaya si kidhi vigezo, kwani kamshara kangu kamezi kwa mbaaalii, hicho kiwango, mi nilifikili zawadi ni zawadi tu, kumbe ni kwa kundi maarumu!!!?
 
he he he, tutatangazwa ikulu tumesaidiwa?

Afu utaenda kumpokea eapoti sawa?

Chezeiya natalia kiboko ya maduu wa mjini wote

Mwenzangu, dili za pesa nazihusudu ile mbaya, ila hela ya huyu mwanamke sitaki kuigisa. For the next 10 years ataanza na thread '' nilimsaidia king' na konnie $300 wakasaidie yatima, wakaiba $100. Nilihakikisha kwa kutuma auditors wanne wa delloitte na wakakagua mahesabu kwa mwezi mzima. Niliwalaza kempinsk. Siamini wabongo na investments''

bora tu amtaje rutherford na heart patients. Hili dili fafa. Muambie achangie jf apate kibatani sijui cha nini ile. Hiyo atatamba nayo mwaka mzima.
 
kumbe wee tajiri?
Mshahara wako unavuka dola 1000?

Sie walimu tutateswa hadi lini?

Natalia, bahatimbaya si kidhi vigezo, kwani kamshara kangu kamezi kwa mbaaalii, hicho kiwango, mi nilifikili zawadi ni zawadi tu, kumbe ni kwa kundi maarumu!!!?
 
Natalia naomba nishukuru kabla hujanitumia..yaani nilikuwa naiwazaje bajeti ya Christmas?
By the way..utanitumiaje??..Ila na wewe naye..ONGEZA basi ziwe hata $130...hako kanyongeza ka$30 si unajua mambo yetu yaleeee......
 
Last edited by a moderator:
nimeshamnyonga miguu na anahangaikia roho yake sasa hivi

hata kabla hela haijatumwa achia mbali hata sina hakika kama ataiba kweli.

aaaaaaaaaaaa Basi Kongosho kwisha habari yako,,,,King'asti lazima akurushe.
 
Watu kumi tu mtapata dolla 100 kila mtu.lazima uwe bongo na uwe na mshahara less than 1000 dollar a month.Niitume wapi pesa hii wapi na mtaipokeaje.
Nadhani nitakuwa sijachelewa kwenye hilo dili la mpunga dah!......Kwa mpunga huo nadhani nitapata kitu cha Pako Rabbane mkuu,kama vipi tupia kabisa 1 million kwa hiyo chenji itakuwa pwax
 
sina nauli
sina visa
sijui pa kuanzia
sijui hata pa kufikia
sijui nitapataje kazi

afu mie nafundisha kweli hata bila chalk na bila umeme nafundisha

sasa huko shule zao zina vitendea kazi si ndio nitabobea?

:) Note: King'asti, njoo unitafsirie, mbona Nataly anatumie uende USA badala ya Uje? As if yeye hayuko Manhattan bana

Sasa si uende USA tu.mwalimu 5000 kwa mwezi
 
Last edited by a moderator:
nimeshamnyonga miguu na anahangaikia roho yake sasa hivi

hata kabla hela haijatumwa achia mbali hata sina hakika kama ataiba kweli.
Kama ni hivyo sawa maana nilifikiri nikushauri kama bado hujafungua account number bora utumie ya Ciello au Preta....kwa lara1 ungekoma.Ungetumia pia ya Wiyelele angemuhomga HG wake kwani kamzimia kuliko mke wake.
 
Hebu turushie mimi na lara 1 halafu ongeza kidogo kama dola 30 nataka nitoke naye sikukuu lakini kila mtu alipie bili yake.
Ole wako lara 1 usifikiri mimi ni rahisi kunipiga changa la macho............me mtoto wa mjini vilevile
 
Last edited by a moderator:
Mi nikizipata kwa M-pesa natumia kuwatafuta wana Jf walio wilayani kwangu na kubadili nao mawazo siku ya sikukuu ya Chrismas.
 
Natalia naomba nishukuru kabla hujanitumia..yaani nilikuwa naiwazaje bajeti ya Christmas?
By the way..utanitumiaje??..Ila na wewe naye..ONGEZA basi ziwe hata $130...hako kanyongeza ka$30 si unajua mambo yetu yaleeee......
Weka jina Lako nitakutumia 130 sio big deal .western union siwezi kutuma hewani.mwombe boss wa jamii forum nitakutumia Huko akikubali halafu ukachukuo Huko.sitaki matapeli
 
Last edited by a moderator:
Watu kumi tu mtapata dolla 100 kila mtu.lazima uwe bongo na uwe na mshahara less than 1000 dollar a month.Niitume wapi pesa hii wapi na mtaipokeaje.

Mchangie mtoto alietoka utumbo nje na wengine wenye matatizo ambao hata elfu 1 kazi kupata.
 
Hahahah hebu nipe maujanja kwani akaunti yangu ya benki wanaimonita so zikipita huko ni soo, am serious nataka nile madolari krisimasi
Yaani wewe hupati kabisa

inaonekana hujawahi tumia dola, hazipiti kwenye MPesa
 
Natalia umetisha,,

Dah ngoja nikupm details zangu unicheki kwenye money grams au western union,,, nilikuwa nawaza bajeti ya bia za cristmass mpaka kichwa kinataka kupasuka...
 
Back
Top Bottom