Nina dollar 1000 kwa rafiki wa jamii forum for christmas


GOOGLE

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
1,867
Points
2,000
GOOGLE

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
1,867 2,000
Western union mkuu afu ongeza kidogo,
 
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
4,721
Points
1,225
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
4,721 1,225
Kwan wewe uko wapi? Natalia
 
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,723
Points
1,500
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,723 1,500
Western union nitatuma tu,muongee na bosi Wenu wa jamii nitume Huko mkachukue.nakaa Ny
 
Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Messages
9,381
Points
0
Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2007
9,381 0
Ongeza iwe hata $ 150
 
B

bid2015

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Messages
325
Points
195
B

bid2015

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2011
325 195
Watu kumi tu mtapata dolla 100 kila mtu.lazima uwe bongo na uwe na mshahara less than 1000 dollar a month.Niitume wapi pesa hii wapi na mtaipokeaje.
Na mm nataka jamani natalia. Tumia M-PESA
 
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Messages
4,398
Points
1,225
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2012
4,398 1,225
We una nini kwanza?hatuhitaji msaada sisi because we hv enough,tuna madini,tuna samaki,tuna gas,hatuhitaji hiyo pesa nenda kawape waathirika wa kimbunga cha sandy sanasana uje tukupe msaada wa ekari 300 ulime chakula na ukiuze tanzania, watanzania sembuse JF hatuhitaji misaada toka nje ili tufanikiweWatu kumi tu mtapata dolla 100 kila mtu.lazima uwe bongo na uwe na mshahara less than 1000 dollar a month.Niitume wapi pesa hii wapi na mtaipokeaje.
 
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,723
Points
1,500
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,723 1,500
We una nini kwanza?hatuhitaji msaada sisi because we hv enough,tuna madini,tuna samaki,tuna gas,hatuhitaji hiyo pesa nenda kawape waathirika wa kimbunga cha sandy sanasana uje tukupe msaada wa ekari 300 ulime chakula na ukiuze tanzania, watanzania sembuse JF hatuhitaji misaada toka nje ili tufanikiwe
Ni zawadi .christmas its time to give gift and celebration .rich or poor receive and give gift
 
Wi-Fi

Wi-Fi

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
2,087
Points
2,000
Wi-Fi

Wi-Fi

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
2,087 2,000
Watu kumi tu mtapata dolla 100 kila mtu.lazima uwe bongo na uwe na mshahara less than 1000 dollar a month.Niitume wapi pesa hii wapi na mtaipokeaje.
Natalia, Changia JF kuiwezesha zaidi. for more details CLICK HERE
 
Last edited by a moderator:
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
2,662
Points
2,000
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
2,662 2,000
Hahahhahaa... Ingekuwa kweli,sijui watu wangetafutanaje humu ndani..loh!
 
Pukudu

Pukudu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
3,020
Points
2,000
Pukudu

Pukudu

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
3,020 2,000
Ni zawadi .christmas its time to give gift and celebration .rich or poor receive and give gift
Serious! Aisee hata mi nahitaji niwataftie ndugu na jamaa huko bush NGuo za sikukuu!
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,072
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,072 1,500
mie nataka nandae chakula cha mchana cha watoto wa mazingira magumu

dola 300 zitasaidia, tumia account ya King'asti.
 
Last edited by a moderator:
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 0
Asee Natalia ngoja nikupim no yangu unitumie kwenye mpesa
Ni zawadi .christmas its time to give gift and celebration .rich or poor receive and give gift
 
Last edited by a moderator:
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,072
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,072 1,500
Yaani wewe hupati kabisa

inaonekana hujawahi tumia dola, hazipiti kwenye MPesa

Asee Natalia ngoja nikupim no yangu unitumie kwenye mpesa
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,295,847
Members 498,410
Posts 31,225,298
Top