Nina division 1 ya point 5 HGL, nisome kozi gani chuo?

Nina division 1 ya point 5 HGL, nisome kozi gani chuo?

naitaji kuchagua kozi ya kunifaa chuon nina one ya point tano advance nmesoma HGL na o-level nina F-Maths na nlisoma pure arts
ushauri wenu wana jamvi
Law udsm nenda upige kitabu, pia unaweza jaribu land valuation ardhi japo f ya math inaweza kukupa shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naitaji kuchagua kozi ya kunifaa chuon nina one ya point tano advance nmesoma HGL na o-level nina F-Maths na nlisoma pure arts
ushauri wenu wana jamvi
Hapa kwa tokeo hilo nakushauri usome LLB ama HR Haya masomo katika soko la ajira angalau wataalamu wake wanaonekana kuhitajika kwa wingi tofauti na masomo mengine. Ni ushauri tu mwana jamvi mwenzangu.
 
wakuu ndoto zangu ni kuwa specialist kwenye land management and evaluation sema F ya maths imeniangusha
 
Back
Top Bottom