Nina division 1 ya point 5 HGL, nisome kozi gani chuo?

Nina division 1 ya point 5 HGL, nisome kozi gani chuo?

trio

New Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
2
Reaction score
0
naitaji kuchagua kozi ya kunifaa chuon nina one ya point tano advance nmesoma HGL na o-level nina F-Maths na nlisoma pure arts
ushauri wenu wana jamvi
 
Ukichunguza vizuri swali lako ni sawa na kuhitaji mtu akuamulie academic destiny maishani mwako.
Kwani wewe unataka kuwa nani?

Nadhani ungeuliza hivi tungekushauri na kozi za kusomea, usiruhusu tena.
 
"Wasaidie unaotaka wakusaidie" in vyema ukaeleza unataka kuwa nani/kufanya kazi gani maishani?
 
naitaji kuchagua kozi ya kunifaa chuon nina one ya point tano advance nmesoma HGL na o-level nina F-Maths na nlisoma pure arts
ushauri wenu wana jamvi
mkuu kwanza hongera vitu vingine watachangia wenzangu
 
Back
Top Bottom