makaj
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 318
- 376
Unasoma mkuu, sema mambo ya hesabu lazima yakukute kweny business ila unakomaa tu!!!Bila kufaulu maths olevel huwezi kuchukua business labda akasome sheria au political science and public administration (pspa) na education kwa masomo aliyofaulu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app