Nina division 1 ya point 5 HGL, nisome kozi gani chuo?

Nina division 1 ya point 5 HGL, nisome kozi gani chuo?

Mtanzania kumuuliza Swali kama hili ni kumuonea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mkuu?
Mimi huamini hakuna kitu kizuri kama kujua unataka nini maishani.
Maisha yetu yamejaa lawama sana hasa pale tunapoona mambo hayaendi.
Leo atachaguliwa kitu cha kusoma baadaye mambo yakigoma anaweza anza jilaumu kwanini alisoma hiko anachoombea watu wamsaidie mawazo.
 
naitaji kuchagua kozi ya kunifaa chuon nina one ya point tano advance nmesoma HGL na o-level nina F-Maths na nlisoma pure arts
ushauri wenu wana jamvi
Soma Land management and evaluation.. Inatorewa na Aridhi university Dar es salaam..AU..soma sheria..chuo kikuu cha mzumbe morogoro au UDSM ....

Ukikosa kabsa..soma Health system management.. Inatolewa na Mzumbe university morogoro.

Huo ndio ushauli Wangu.

KARIBU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuata moyo wako. Kuna mtu anasomea kupiga ngoma lakini anafuraha unless unaulzia kuhusu soko la ajira ambalo nalo halitabiriki sana.
 
Back
Top Bottom