hongera, ila naomba kuuliza eti hapo kwa mfano nati na bolt zisipokuwa compactible itakuwaje?nauliza tu.....
Hahaaaa! WATU WOTE WALIVOKUWA WANAO SIKU YA HARUSI WALIJISIKIA HIVO!
Waulize siku ya DIVORSE watu wale wale EXCEPT mawazo yao juu ya mtu yule yule yamebadilika kabisaaa! Naweza sema mawazo yao in a polite yamegeuka HOSTILE!:A S wink:
Im not bring7ng ghosts in your ship, but all i can say is USIMTUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO!
Otherwise it is a happy thing, it calls for a celebration. :tea::tea::tea::tea::tea:
unakaribisha bila kuweka details za hiyo arusi, update details uone wazee wa ubwabwa tutavyojaa kuliko ndugu zako! After all if its true.....be blessed brother😛
mhhh hapa nawaza ule mchezo ulivyo mtamu....4yrs??
Kaka nyie ndo mnaokuwaga vi.tombi uzeeni.
na hapo ulipo huna uzoefu wowote as mechi za mchangani zilikupita
Hongera kwa kupata bikira........
Mi simvunji mtu moyo nataka kujua tu ili nijitoe kwenye team "shake well before use"teh teh!!? we nawe unapenda kuchimba!!! wacheni kuharibu vijana au kuwavunja moyo kwa wanaoamua kusubiri mpaka ndoa kwa hizi pictures na maneno yenu....
Hahaaa unajua umeuliza swali zuri sana
Hahahaa we ni jamaa ni. Ndez kumbe bado hata hujamfunua ndoa bado unaanza kutushauri nn, ukikita keshafumuliwa bkra baada ya kumuoa utasema aliban miguu pia... then wengne tumefundishwa kufanya vtu kwa uhakika so lazim nionje kabla sijamuoa ili niwe na uhakika na ndoa yangu hasa kwene lile jambo la msingi yaan tendo la ndoa. Sinunui mbuz kwenz gunia
Hongera sana mkuu....mahusiano bila ngono yanawezekana....hata honeymoon yenu itakuwa ya ukweli sio watu mmevuana picchu miaka mitatu af mnaenda honey moon what for?