hapana nimesoma vizuri alikuwa anamzungumzia rafiki yake my mistake........hahahaha aibu aibu kwa kweli huu uzi angeweka sawa kidogo ungependeza mana kuna kitu hapo kina ukweli na ni muhim sana iapokua kaharibu kabisaaa kujifanya saint fulani hicho kichwa cha habar tu chatosha kuwa huyu mtu ni mnafiki hata ukitoa sadaka watakiwa mkono wa kushoto usione (wengine) itakua haya mavijuvuno na kujifanya mtakatifu?
aiseee Tyta pita pande hizi kidogo huyu jamaa ametudanganya kuhusu ku do yule mchepuko aligoma
hakuna aliyezaliwa na uzoefu mkuu...
mkague 0713 a.k.a kabaang kwanza,
ukute raia walikuwa wanaingia mlango wa nyuma
hapana nimesoma vizuri alikuwa anamzungumzia rafiki yake my mistake.......
nimefuta haraka haraka , lakini kumbe umeshainasa ,,, dah! upo fasta sana bestii...
hongera, ila naomba kuuliza eti hapo kwa mfano nati na bolt zisipokuwa compactible itakuwaje?nauliza tu.....
hongera, ila naomba kuuliza eti hapo kwa mfano nati na bolt zisipokuwa compactible itakuwaje?nauliza tu.....
hamna kitu kama hiko. nimekagua sana tu...ndio maana nina uhakika.
nimekagua sehemu zote ndio maana nina uhakika mkuu...
Hongera sana mkuu....mahusiano bila ngono yanawezekana....hata honeymoon yenu itakuwa ya ukweli sio watu mmevuana picchu miaka mitatu af mnaenda honey moon what for?
hamna kitu kama hiko. nimekagua sana tu...ndio maana nina uhakika.
ulikaguaje ulikuwa unajipimisha au
Mmmmmh wewe jamani ina maana ulimchungulia tu uhakikishe alafu ndio unasubiria honeymoon? Haingii akilini
Sasa umemkaguaje???unamgeuza unaangalia then unamuacha😱😱....hio ni kama hadith