Nina dhambi nyingine sio uzinifu

Nina dhambi nyingine sio uzinifu

Naona muanzisha uzi ametoka speed kama anawahi mkoani na bus za kichina baada ya kumfungulia ma-file na kumbaini hana lolote ni muongo tuu, au ndio anaoa huo mchepuko alioupa mimba, mchepuko ulipata mimba wakati kazi ya ukaguzi ukiendelea. Hahahahhahahahaha.
 
tarehe 30/5 mwaka huu ulikua unatafuta mke sasa hiyo miaka mnne ya uchumba umekaa lini na yupi???? we usicheze na akil zetu
 
akaanzishe kanisa.,

Kwani amekwambia ni mkristo? Unajuaje; pengine ni mwislamu? Binafsi namwona anayestahili pongezi, si kejeli na vijembe yeye na mwenzi wake kwa uvumilivu wa dhati waliopitia.
 
duh

hata kama hii thread yako ni ya uongo, imenionyesha jinsi gani wazinifu tulivyo wengi
 
Back
Top Bottom