.hahahaha aibu aibu kwa kweli huu uzi angeweka sawa kidogo ungependeza mana kuna kitu hapo kina ukweli na ni muhim sana iapokua kaharibu kabisaaa kujifanya saint fulani hicho kichwa cha habar tu chatosha kuwa huyu mtu ni mnafiki hata ukitoa sadaka watakiwa mkono wa kushoto usione (wengine) itakua haya mavijuvuno na kujifanya mtakatifu?
Wakuu miaka 28 si midogo, baada ya uvumilivu wa muda mrefu hatimaye Mungu amenifanikisha kuingia katika taasisi ambayo vijana wengi wanaiogopa(ndoa)
kwa ufupi mimi na huyu mwenzangu tumedumu katika uhusiano 4 yrs ingawa tulikuwa tukifahamiana tokea zamani.uhusiano wetu haukujengwa katika misingi ya kingono hivyo wote tuliamua kusubiri mpaka ndoa kwa miak yote hiyo(wazinifu wataponda)
nitakuwa si mtu mwenye fadhila kama sitomshukuru Mungu kwa kuniepusha na mdudu mchafu zinaa kwa muda wote huo na kunipatia wife mrembo,anayejiheshimu, mwenye kujua dini, aliyeelimika kutokana na elimu aliyoipata na anayejua maisha ni nini kwa ujumla.
mwisho ninawaambia vijana wenzangu kuwa, mahusiano bila ngono yanawezekana hadi yakafikia ndoa. kama wote wawili mkiwa na imani ya kweli juu ya mwenzake. msiwachezee mabinti za watu kisha kuwaacha na kuanza kuwapa majina ya ajabu. na nyie kina dada mjifunze kubana miguu yenu kama alivyofanya wife yangu sio kila me unamchanulia...matokeo yake mnakuja kulalamika kuchezewa na kuzeeshwa kila siku.
mnakaribishwa wote kwenye sherehe ya harusi weekend hii tarehe 28/9.
asanteni
nimekagua sehemu zote ndio maana nina uhakika mkuu...
ajabu ni nini hapa???
Umesoma title ya hii thread? Huyu anafurahi kwamba hajatenda dhambi na si kwamba amefurahi kwamba anaoa bikra....kama huyo dada alifunuliwa huko kivyake ni kesi ya kupatana yeye na Mungu wake...kijana ye katimiza wajibu wake
We call t shake well before use
Huyo bikra akakutana na kitu kama hchi itakua honey moon kweli?I don't entertain hzo fantansy hata
Hongera sana mkuu....mahusiano bila ngono yanawezekana....hata honeymoon yenu itakuwa ya ukweli sio watu mmevuana picchu miaka mitatu af mnaenda honey moon what for?
Hizi ni hadithi tu....mpango wa ibilisi kuwavuta watu wengi kwake
Nashukuru kwa kua that ibilisi but maisha hayo ya kuigiza sinaga aisee
Wewe mwenyewe I guarantee sio bikra n if so kwann hukujitunza?
Guys acheni maisha ya kuigiza(personally siwez but kama unaweza just respect Imani yako)
Hongera sana mkuu....mahusiano bila ngono yanawezekana....hata honeymoon yenu itakuwa ya ukweli sio watu mmevuana picchu miaka mitatu af mnaenda honey moon what for?
Siyo huyu aliekuja kumwombea rafiki yake ushauri kampachika mimba michepuko amemganda na harusi tarehe 28/9 [MENTION=83930]tyta/MENTION] ukuje huku
Kwa nini una-guarantee? Unanijua?
hapana nimesoma vizuri alikuwa anamzungumzia rafiki yake my mistake.......
nimefuta haraka haraka , lakini kumbe umeshainasa ,,, dah! upo fasta sana bestii...
Ina maana ye na rafiki yake wanafunga ndoa siku moja
I don't but I guarantee
Kwa hiyo huna sababu ya kuniita mnafiki maana huna uhakika na hicho unachokizungumza
Siyo huyu aliekuja kumwombea rafiki yake ushauri kampachika mimba michepuko amemganda na harusi tarehe 28/9 tyta/MENTION] ukuje huku