Nina bajeti ya 600,000. Simu gani itanifaa?

SmartSelectImage_2019-10-31-21-39-38.jpeg
SmartSelectImage_2019-10-31-21-39-29.jpeg
 
Heshima kwenu.

Nataka kununua simu mpya Samsung ama brand nyingine. Bajeti yangu laki sita na nusu.

Wajuzi wa mambo kwa ka hela haka nitapata simu nzuri ipi. Hasa Samsung. Sipendi kabisa iPhone so usinishauri iPhone.

Nywea Bia Mkuu..........Gongaaa mezaaaaaa
 
kununua galaxy s8+ hutajutia pesa yako,naitumia hapa wiki 2 sasa ni simu nzuri sana na imekamilika kila idara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom