Nina bajeti ya 600,000. Simu gani itanifaa?

Nina bajeti ya 600,000. Simu gani itanifaa?

wakuu kuna mtu budget yake 250k anataka infinix, anaweza pata simu gani hapo ?? yan i mean infinix ipi ? me izo simu sizijui kabisa
 
Nashukuru kwa michango yenu jana nimelipia samsung galax A50 hakika nakiri hela yangu imeenda kihalali. Simu ina nguvu balaa, camera amazying yaan hadi usiku inapiga picha kama mchana, betri masaa 5000 inawezakuwa powerbank
 
Back
Top Bottom