Tish
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 360
- 209
Yes a50 ndo bei yake hiyo ni nzuri sanaKwa budget hio samsung go for A50, ni simu nzuri midrange all around.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes a50 ndo bei yake hiyo ni nzuri sanaKwa budget hio samsung go for A50, ni simu nzuri midrange all around.
Hii tayari ipo sokoni tz na bei ndo hiyo 600k au zaidi?Chukua Samsung galaxy M30s ina ram 6 rom 128, betri 6000mah camera 48mp kama sikosei, fast chaji, super amoled kwa bei hiyo 600k au hata chini ya hapo ukitaka zipo hadai za 64rom na ram4
HongeraNashukuru kwa michango yenu jana nimelipia samsung galax A50 hakika nakiri hela yangu imeenda kihalali. Simu ina nguvu balaa, camera amazying yaan hadi usiku inapiga picha kama mchana, betri masaa 5000 inawezakuwa powerbank
Kuna baadhi ya watu wanapenda kukwaza interest ya mtuAjasema anataka mambo ya business plan.
Wabongo tunashida sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Halafu ukishauza matikiti?Ningekuwa wewe ningenunua ya elfu 30 tu nyingine nikafungua biashara hata ya kuuza matikiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa wewe ningenunua ya elfu 30 tu nyingine nikafungua biashara hata ya kuuza matikiti.
Sent using Jamii Forums mobile app