"Nina Allergy na Kondomu"

Kwa kuwa wote tutakufa haina shida
 
Weka ky mingi n'a usilete ufundi kojoa fasta .MALAYA hapaswi kuridhika
 
Yaani ukiona mtu mmekutana mazingira hayo halafu haulizii kondom. Awe wa kike au wa kiume vaa nguo uondoke.
Huyo hata ukimlazimisha kutumia condom bado atakuambukiza ugonjwa wowote tu.
Kwanza kwann uzini wakat mungu kakataza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…