Kagari kazuri sana,
nimetaka sana kukamiliki, lakini bahati mbaya mazingira ninayopitapita
yanahitaji 4WD.
Ninachojua ni kwamba usipungukiwe 8,000K ili ukapaki uani kwako.
Kagari kazuri sana, nimetaka sana kukamiliki, lakini bahati mbaya mazingira ninayopitapita yanahitaji 4WD.
Ninachojua ni kwamba usipungukiwe 8,000K ili ukapaki uani kwako.
ni kweli ndugu yangu ndio maana hata mimi nina ndoto ya kukamiliki, dah kwa hiyo kwa amount niliyonayo siwez kupata sio?
wanabodi, kichwa cha habari chaeleza, nahitaji gari aina niliyoitaja, 4 serious deal please pm
ushauri mzuri sana, naupokea kwa mikono yote! Thanks bro!Kwa hiyo hela bora uongeze
1.5m utapata IST nzuri tena uagize mwenyewe. Ila showroom za hapa mjini
nyingi ziko kwenye 11m. Mi nimeipata kwa 8.5m mpaka kuimiliki from
Japan. IPO vizur na inakula mafuta approximately 16km/ 1Lt. Nakushauri
usinunue za hapa mjini.
ushauri mzuri sana, naupokea kwa mikono yote! Thanks bro!
Agiza ndg yangu..its easy na unapata kuimiliki tz wewe wa kwanza..achana na show room au kwa mty
kaka,sasa sisi wenye show rooms tukale wapi???
kaka,sasa sisi wenye show rooms tukale wapi???
Njoo na hiyohiyo nikupe GX 100 nzuri tu.
kaka,sasa sisi wenye show rooms tukale wapi???
kaka,sasa sisi wenye show rooms tukale wapi???