Nina 7million, nahitati Toyota IST

Nina 7million, nahitati Toyota IST

Ongeza 1.3 nikupe yangu bado iko vizuri sana namba zinaanza na CY


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Ndio hivyo kaka....me ni mdada but very strong...not interms of kupigana lakini..na usidhani kwamba ni dume jike nope hahaha. .a true lady in kila kitu steveachi

Naweza tupa ndoano?
 
Last edited by a moderator:
Gari za SBT zinaonekana bei kubwa but ni gari nzuri. Hawa hii ni saite Yao tofauti na Bforeward ambao wao 3rd part site. Ni vema ukatafuta mtu ambae ni expart ws kuchek magari kwenye mtandao. Pia watz weng wanatapeliwa kwa sababu wanaangalia klm ni ngumu sana kupata gari ya chini ya klm 100000. Makampuni mengi saizi wanacheza na speedometer ili kushusha klm. Cha muhimu ni engine .

Haswaaa wengi hawanunui magari ila wananunua OD.
 
wanabodi, kichwa cha habari chaeleza, nahitaji gari aina niliyoitaja, 4 serious deal please pm

Me ninayo vitz new model ya 2006, 69100km, push to start, new alloy wheels nataka mil 9 tu maongezi hakuna kama vp ni pm
 
Unayo vitz au paso.unauzaje

vitz ninayo kaka,nimeiingiza nchini mwezi wa 6 tarehe 12 mwaka huu,imetembea Km 74000,ipo poa sana mkuu inakula kama km 15-18 kwa lita,naiuza 7.8m Mkuu,bado ipo vizuri sana,ni ya pink
 
Vitz ziko model ngapi unazozijua ww ambazo umewai kuziona bongo, Kama auna chakuongea Funga Bakuli Lako.....NYAMBAFUUUU

Kuna watu wanajifanya wajuaji hajui kwamba vitz zipo new model msamehe alijua new model ni gari ya 2014 kumbe inaweza ikawa ya 2014 kumbe ni old model amechanganya gari mpya na new model lol.
 
Kuna watu wanajifanya wajuaji hajui kwamba vitz zipo new model msamehe alijua new model ni gari ya 2014 kumbe inaweza ikawa ya 2014 kumbe ni old model amechanganya gari mpya na new model lol.

Hahahaha Sawa Mkuu Nimeshamsamehe huyo! Sidhani kama anamiliki hata baiskeli....
 
Back
Top Bottom