Nina 50,000/=Tshs mwenye smartphone aniuzie

Nina 50,000/=Tshs mwenye smartphone aniuzie

gmabumbe

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
340
Reaction score
39
iwe mzima. Brackberry curve,Ideos,Tecno,Nokia
nichek 0716-844978
 
Hata nokia asha hupati mkuu...ongeza hela
 
iwe mzima. Brackberry curve,Ideos,Tecno,Nokia
nichek 0716-844978

Pole sana. Bado nokia za tochi zipo nyingi madukan!!! Au unaweza kuhifadhi kwa ajili ya vocha mara upatapo mchina ya 20,000
 
mi nna bkacberry torch ila hzo elfu hamsini kazichenji halafu uniletee zote ziwe katika sarafu ya shilingi kumi halafu ni pm
 
Hiyo hela kamnunulie C.HU.PI mkeo aache kuvaa mapensi yako...inayobakia ukanunulie kanda2 za kuendea toilet..
 
Ok! Nifate pm ntakupa nö yangu tigo unitumie hela then utaniambia nikuletee wapi simu yako!
 
mi nitakupa hata bure ila ninaishi malindi_mombasa.
0713?.,,
 
Back
Top Bottom