dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
80 b'berry 8520
Nenda mwenge stand kuna mnada wa simu
Nenda Kariakoo kwa Zahoro Matelephone utapata Samsung Galaxy 5 ya maana kabisa kwa shs 40,000 tuu,ikiwa na Memory Card 8Gb. Kazi ni kwako sasa.
Kweli kabisa pale mwenga atapata samsung note 2 nzuuuriii
mnada tena msimchanganye mwenzenu mwambieni kama hamna
sidhani kama unajua maana ya smart phone
iwe mzima. Brackberry curve,Ideos,Tecno,Nokia
nichek 0716-844978
wewe ni ke au me ? kama ni keei ni beep kwenye pm nokuletee mbili
Made in...?