Unahisi gunia 7 za mchele zitaweza kukupa faida?Kuna mshkaji wang amenambia morogoro wananunua mchele Kwa magunia afu wanauzia mjini .sijui ipoje io bzness Kwa wenye ufahamu wanambie
Lete nikutunzie hiyo hela ,Ndugu zanguni Wana Jamiiforums naomba ushauri 1M nifanyie biashara gani na mkoa gani unafaa nije niwekeze
😂Tafuta hela kijana milioni moja sio hela ya kufanyia biashara.....
Nikopeshe mimi nitakua nikikurejeshea lak 2 kwa miezi 6Ndugu zanguni Wana Jamiiforums naomba ushauri 1M nifanyie biashara gani na mkoa gani unafaa nije niwekeze
Kwa hiyo na wewe ni muwekezaji?Ndugu zanguni Wana Jamiiforums naomba ushauri 1M nifanyie biashara gani na mkoa gani unafaa nije niwekeze
Hiyo fanya biashara ya mitumba haihitaji uwekezaji mkubwaNdugu zanguni Wana Jamiiforums naomba ushauri 1M nifanyie biashara gani na mkoa gani unafaa nije niwekeze