Nin maana ya ndoto hii

Nin maana ya ndoto hii

Joined
Jan 5, 2020
Posts
9
Reaction score
17
Nimekuwa nikkiota ndoto hii mara kwa mara ...ya kwamba naota mim na mpenz wangu tunafanya mapenz nyumban kwa mama ..wakati tunaendelea namwambia aanze kujiandaa mama ana karibia kurud yeye anakuwa mkaidi ..mara mama anarud nje anakutana na bibi,bibi anamwambia nenda chumban kwa mwanao uone anachokifanya ..kweli mama anaingia anatukuta mim na mpenz wangu huku mpenz wangu akiwa na mbegu mkonon anataka kuzifuta mama anaanza kulalamika kwann nafanya ivyo

Sent from my SM-G965F using JamiiForums mobile app
 
Una JINI MAHABA...

Kaombewe kwa jina la YESU KRISTO
 
Heri kuepuka shari kuliko shari lenyewe kama unatabia ya kulala na mabinti bila utaratibbu basi acha mara moja,huko unaelekea ni kubaya subiri wakati ukifika uoe mke halali.
 
Nimekuwa nikkiota ndoto hii mara kwa mara ...ya kwamba naota mim na mpenz wangu tunafanya mapenz nyumban kwa mama ..wakati tunaendelea namwambia aanze kujiandaa mama ana karibia kurud yeye anakuwa mkaidi ..mara mama anarud nje anakutana na bibi,bibi anamwambia nenda chumban kwa mwanao uone anachokifanya ..kweli mama anaingia anatukuta mim na mpenz wangu huku mpenz wangu akiwa na mbegu mkonon anataka kuzifuta mama anaanza kulalamika kwann nafanya ivyo

Sent from my SM-G965F using JamiiForums mobile app
We malaya sana shetani mkubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom