aaaah TheBoss bwana!!!yaani mchango wote huo kumbe ulitaka kujua kuhusu kama alikuwa hana chupi!!!hata chupi hakuna?au?
wapendwa wa kuu wa kaya hi,nawasalimu...week kama mbili hivi nilipata uwamisho wa kazi kwenda tanga,ikwa vile nilikuwa bado sijapata makazi nilifikia kwa uncle wangu,na kweli nilikaribiswa vizuri sana na uncle na anti,tatizo lilianza kama wiki moja kupita,siku mmoja jumapili nikwa nimejipumzisha sebuleni nikiwa na angalia tv anti alikuja tukawa tumejumuika pamoja,angalizo anti hatuja pishana sana umri na ni sister du,mtoto wa mjini,mikao aliokuwa anakaa pale sebuleni na kinguo alicho kivya kwa kweli kama rijali unaweza kutegeka,basi nikaone nitoke pale kuepusha shari nika aga naenda chumbani kupumzika, baada kama ya dakika kama 30 nilisikia mlango wa chumbani kwangu ukifunguliwa kuhamaki alikuwa anti na kanga moja,alifunga mlango na kudondosha kanga na kubaki kama alivyo zaliwa akielekea kitandani nilipo,nilipigwa na butwaa,katika mvutano wa hapa na pale niliweza kuponyoka na kutoka chumbani nikamuacha chumbani kwangu,niliamua kuondoka kabisa hapo nyumbani nikaenda matembezi...nikiwa huko alinitumia msg ''..........nakupenda sana tokea siku nilipo kuona,na mjomba ako anirizishi ninavyo taka,naomba msaada wako"kikweli nilichanganyikiwa na tokea siku hiyo na mkwepa kwepa ila naona aibu tukiwa wote na uncle na yeye.je nimwambie uncle maana bado ananitumia msg za kunitaka kimapenzi

mbona unamshauri kibabe kama mmegombana mwambie kiustaarabu bana the bossUnataka kuvunja ndoa za watu wewe
na wakiachana story itakugeuka
itajulikana ulitembea nae
wewe si uhame tu hapo?
mbona ishu ndogo..how old are you?
halafu khanga moja ikidondoka hata chupi hakuna?au?
kaka tatizo hawa viumbe wana tabia ya kisasi na kutokupenda kudharauliwa huoni kwamba anaweza kutafuta mbinu ambayo inaweza kuwa mbaya ili amkomoe jamaa maana atakuwa na hasira naye.Umwambie uncle ili iweje! Kwanini uhame, nyumba zenyewe ghali sana, cha msingi hapo we mchane huyo Aunt kuwa yeye sio type yako, na umfagilii wala nini, mwambie aondoe mawazo ya kuwa uta do nae. Nahisi anahisi unatka, ila ukimchana live humind mzigo, sidhani kama atakufosi. Kuhama ni kuongeza gharama, wkt hapo kodi hutoi, misosi unajilia, na unapata comfort zote kama kiyoyozi, sofa, godoro dodoma sasa ukienda kupanga uta enjoy hivo?