Nimwambie Ukweli?

Achana na huyo mwanaume dada, usipoteze muda wako na mtu asiyekujali, anayekuumiza namna hiyo. Usijipe matumaini that guy Hawezi kubadilika hivyo ndivyo alivyo. Kama kichwa cha habari kinavyosema, jibu ni ndio mwambie ukweli Breakup with him, move on. Akizidi kukusumbua ni bora umripoti polisi.
 
Unaomba ushauri wa nini?pambana na hali yako mama,we rudi ukapigwe si unataka sex na treatments?
 
Madam umemaliza yote,huyu bado hajapigwa kikimkolea hatotaka kushauriwa na mtu! Mimi yule mdogo wangu aliyepigwa last wk mpaka akazimia alikua akipigwa hivyo hivyo unamshauri lakini baada ya siku mbili tatu mapenzi moto wanarudiana na bwanake ila kipigo cha juzi nilikua kiboko maana mpaka kuzimia juu bibie mweupe lakini akawa mwekundu kwa kuvilia bwana anapiga usoni kichwani,sasa hivi amepata nafuu na yeye mwenyewe ndio ameagiza akachukuliwe vitu vyake kwa bwanake hana shida ya kesi tuliyoripoti polisi hivi nnavyoongea Jana jioni tumemsafirisha kwenda Mwanza kwa ndugu yetu mkubwa,hataki hata kumsikia. Hivyo hata huyu siku kikimkolea kipigo hatotaka hata ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana...
Mwanamke ni kiumbe mvumilivu sana... Kwa mateso yote hayo ila bado unampenda...

Hakuna cha kukushauri kitu hapo kwa sababu mapenzi ni ya wawili na wewe bado unampenda...

Follow your heart but take your brain with you...


Cc: mahondaw
 
Mapenzi ya humu nayo yana changamoto zake kwakweli....


Ila too much of anything is harmful. Sawa anagharamikia ila mh the other side sasa!!


Mahondaw wa Smart911
 
Maisha yenyewe mafupi kisa cha kujiingiza kwenye tanuri la moto hapa duniani!?

Mkuu ukikubali kuolewa kanisani utasema I do lakini moyoni unajua kabisa "huko ni ninakokwenda cha moto nitakiona".
 
Wakurya ndo zao dk mbili mbele asha kutwanga....ndo walivyo ao kama vipi nawewe mkung'ute kama bado wampenda...

LOVE ABOVE ALL
 
Unapigwa ngumi pengine pia na mateke, pengine uko radhi hata akuumize, unakua stalked, unanyatiwa usiku kama jambazi, unakua hacked simu zako zote, hauna uhuru, hakuna kuongea na mtu jinsia ya kiume, huez kukaa na wenzio labda katika shuhul.mbalimbali ...lakini unampenda na huna raha bila yeye ...SASA ushauri wa nini dada yangu, mvumilie tu, lakini angalizo mapenzi yasikupofushe kwamba uko tayari akuumize vibaya kisa anakupenda..watu wa aina ya sweety wako ni wale wanaoua.

What goes around always comes around
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…