Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,049
- 7,489
Roger that!yupo gereji
Roger that!yupo gereji
nakuchungulia.......
Hebu go back kule unakotafutwa basi....huku mambo ya kuambiana....usije tena...sawa eh?
Siumwi chochote,si kiuno,kichwa wala tumbo,sijachoka wala sijachoswa na kazi lkn leo naona sijiskii kabisa kumpa mwenzi wangu tam yake,nami najua ana ham tena sana na nyonga msaga ini,sitaki na wala sipendi kumuudhi maana nampenda sana je nimwambiaje kwamba leo sijiskii ku do for love?nae keshwa kunywa konyagi mzinga wa pili sasa?
Gereji naenda nikipata jani.......
apana siwez kukuacha apa peke ako..km vp twende wote kule utanisubiria getin...
nini tu kinaendelea hapa jamani ..
hebu mu update AD naye aweze kuto wazo moja au zaidi
mmmhh
apana siwez kukuacha apa peke ako..km vp twende wote kule utanisubiria getin...
Orait...nenda mi nakuja....:tongue:
et nanii hajiskii kumpa mwenzake nanii leo sa anaomba mistar akamwambieje km ye leo HATAK KUCHEZA KIDUKU...?
eeeh jamani mbn unataka kuni cme forwad sasa?
apana siwez kukuacha apa peke ako..km vp twende wote kule utanisubiria getin...
Siumwi chochote,si kiuno,kichwa wala tumbo,sijachoka wala sijachoswa na kazi lkn leo naona sijiskii kabisa kumpa mwenzi wangu tam yake,nami najua ana ham tena sana na nyonga msaga ini,sitaki na wala sipendi kumuudhi maana nampenda sana je nimwambiaje kwamba leo sijiskii ku do for love?nae keshwa kunywa konyagi mzinga wa pili sasa?
Siumwi chochote,si kiuno,kichwa wala tumbo,sijachoka wala sijachoswa na kazi lkn leo naona sijiskii kabisa kumpa mwenzi wangu tam yake,nami najua ana ham tena sana na nyonga msaga ini,sitaki na wala sipendi kumuudhi maana nampenda sana je nimwambiaje kwamba leo sijiskii ku do for love?nae keshwa kunywa konyagi mzinga wa pili sasa?
sababu nyingineeeejan la TARIME au MAFINGA>??....lakin nasikia ile kitu ya NAMANGA NOMAAAA aiseee ...ukipull moja tu unamwona boby marley uyu apa mbele anakuimbia taarabu kwa kwenda mbele na hadija kopa unamwona anaimba hip hop km karapina...jaribu uonje aiseeeee!