Madabwada
JF-Expert Member
- May 8, 2009
- 540
- 321
ukiona na wewe unataka kuwajibika jua unatamani sema una ka uvivu tu kwa wakati huo, mie kama cjickii kuwajibika walaaa nikigeuzwa hivi nageuka vile sawa ili mradi amalize, ndio mana nina ugomvi nae sana na konyagi coz shughuli yake hapana aisee., lazima na wewe uwe kwenye hali hiyo ki kweli kweli......
hee dearest, hiyo nidhamu ya uoga imeanza lini? aitiwe asiitiwe huko nje wanafanya maarifa wanayoyajua wao, c unaonaga comments za wazee wa humu ndani?...halafu mie cfikiragi eti nikimnyima/mbania ataenda huko nje, nje labda anaendaga kila wakati na bado akija home anataka, kwangu nidhamu ikipungua na kula huli, sio nidhamu ya nidhamu kuna nidhamu ya kumnyimia....halafu wanawake wengi wanakuwaga na hilo wazo cjui kwanini, unaweza kuweka mpaka rehani roho yako lakini kama ni lim2 la kutoka litatoka 2 ...
... Nyamayao sasa likizo unampa ya siku ngapi? nakuona mkali wewe ...
Tena hawa wanaojifanya wakali ndio wanaibiwa kinoma ...
Nyamayao umepitia mengi ... pole na hongera ... but ushauri mwingine huo ... kulala tu kama gogo?? baadae ndo haya malalamiko, sababu kwa men kitu hisia na flavour ni muhimu sana!!
inakera sana, halafu huyu X wa mr alitaka kunitengenezea mazingira ya kumwamini, anacall muda anaojickia, utakachoona call c ya kawaida hata kabla hawajasalimiana utackia mr anasema" hallow fulani, eehh nipo home, na wife yupo tumepumzika kdgo, vipi wewe huko"".....na maongezi yatakuwa mafupi sana mpaka utajiuliza amemcal ili iweje na hakuna cha maana walichoongea...mr akimaliza hapo na yeye kutaka kumalizia kunifunga utackia""fulani anakusalimia""mxxssiii....khaaa...nilienda nae mdogo mdogo cku nilipomtolea hacra nikamwambia sasa ukitaka nimcal hata mume wako sasa hivi naweza na nikaanza kukuharibia kabla cjamaliza kuharibu mazima tutakapokutana face 2face...nikamtajia na no ya mumewe...msamaha zilifululizo hapo ..".ooh jamani bac yaishe"...anabaki kushangaa no ya mume wake nimeipatia wapi na watu tupo mbali....