Nimwambiaje?

Nimwambiaje?

Forever young!I wanna be!
SINGO AND NOT SEARCHING!

Siumwi chochote,si kiuno,kichwa wala tumbo,sijachoka wala sijachoswa na kazi lkn leo naona sijiskii kabisa kumpa mwenzi wangu tam yake,nami najua ana ham tena sana na nyonga msaga ini,sitaki na wala sipendi kumuudhi maana nampenda sana je nimwambiaje kwamba leo sijiskii ku do for love?nae keshwa kunywa konyagi mzinga wa pili sasa?
 
yani unamapenzi hata shetani anayaogopa thx so natakiwa kuazna na nn?

St. anna itakuwa ya baridi....kata kiu.....then back to amarula....as inaongeza hamu ya kula...
 
Wadada mnapenda ngono duh, ikitolewa mada ya tamu mnachangia kwa nguvu zote na kwa raha mustarehe, punguzeni ngono!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom