Nimwache? Nahisi ana wowowo la Kichina

Nimwache? Nahisi ana wowowo la Kichina

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,706
Reaction score
57,207
Ndugu wapendwa,

Nipo katika mahusiano kwa miezi mitano sasa na mdada mmoja na kutokana na kazi na kuishi sehemu tofauti huwa tunaonana naye kwa mwezi mara 1. Nilitegemea nimtambulishe kwa wanafamilia kama mchumba ili mipango ya ndoa angalau tuanze kuifanya hapo mwakani. Week iliyopita nlikwenda kumtembelea anapoishi (Kibaha) lakini nlichokikuta kimenishtua sana.

Makalio yake yamekuwa makubwa sana tofauti na mara ya mwisho nlipomwona kama miezi miwili nyuma. Nina uhakika 100% binti katumia dawa za kichina kukuza hayo makalio kwani kwa bahati nzuri, niliweza kuona kipeperushi kwenye meza yake chenye tangazo la hizo dawa kimeandikwa discovery waooh huku maandishi mengne ya kichina halafu kimechorwa picha ya mwanamke mwenye mavitu makubwa.

Moja kwa moja nikajiridhisha kuwa binti kaamua kuwa mtumiaji wa dawa hizo, kiukweli imeniuma sana sipendi hata urafiki na wanawake wenye ya kichina na amenikwaza kwa sababu me nlimpenda jinsi alivyo na mimi sio aina ya mwanaume wanaotamani makalio makubwa kutoka kwa wanawake.

Kuna kaka yangu amenishauri nimwache eti amedai kuwa wanawake wenye makalio makubwa Artificial wana tabia zinazofanana na malaya.
 
labda alihisi uanavutiwa na mawowooo ... duh pole bana we fuata moyo wako mkuu
 
Mjukuu, sijui level ya upendo wako kwake ikoje, lakini kama unampenda kwa dhati, ni vyema kukaa naye na kuongea naye kujua ukweli wa hili jambo na kama ni kweli kujua nini hasa kilimsibu mpaka akaamua kuongeza makalio.

Kipeperushi ulichokiona juu ya meza yake si ushahidi wa kutosha kuamini kuwa na yeye ametumia hizo dawa. Kuna baadhi ya wanawake hubadilika na kunenepa au kupungua kadiri miaka inavyoenda. Na hata kama aliyaongeza, yumkini alifanya hivyo kwa kuona huenda na wewe una dalili za kupenda wanawake wenye umbo hilo kutokana na maongezi yako au namna unavyofurahiana mkiwa faragha.

Kama upendo upo ila tatizo si tabia mbaya ya uhuni, ulevi, uongo au ushirikina, mengine mnaweza kuyaongea na kusameheana kama sababu mtakazopeana zitakuwa ni za kweli na jambo lilifanyika kwa nia nzuri.
Hofu yangu isije kuwa tunawamwaga hawa wadada kwa makosa yetu wenyewe wanaume.

Tafakari Mjukuu wangu.

Babu, HP
 
Duh huyo hafai madhara mtayaona badae akiwa kashakuwa mkeo atakapopata kansa mbona wachina wenyewe hawatumii kama yangekuwa hayana madhara
 
Ukiona yupo na wewe halafu anatumia hayo madawa jua kuna wengine anataka kuwavutia zaidi
fikiri mara mbili,kaka yako yupo sahihi
 
Mjukuu, sijui level ya upendo wako kwake ikoje, lakini kama unampenda kwa dhati, ni vyema kukaa naye na kuongea naye kujua ukweli wa hili jambo na kama ni kweli kujua nini hasa kilimsibu mpaka akaamua kuongeza makalio.

Kipeperushi ulichokiona juu ya meza yake si ushahidi wa kutosha kuamini kuwa na yeye ametumia hizo dawa. Kuna baadhi ya wanawake hubadilika na kunenepa au kupungua kadiri miaka inavyoenda. Na hata kama aliyaongeza, yumkini alifanya hivyo kwa kuona huenda na wewe una dalili za kupenda wanawake wenye umbo hilo kutokana na maongezi yako au namna unavyofurahiana mkiwa faragha.

Kama upendo upo ila tatizo si tabia mbaya ya uhuni, ulevi, uongo au ushirikina, mengine mnaweza kuyaongea na kusameheana kama sababu mtakazopeana zitakuwa ni za kweli na jambo lilifanyika kwa nia nzuri.
Hofu yangu isije kuwa tunawamwaga hawa wadada kwa makosa yetu wenyewe wanaume.

Tafakari Mjukuu wangu.

Babu, HP
Asante sana babu
Kumsamehe naweza lakini nahisi jambo hili ntakanalo moyon muda mrefu na ntaathirika akili kwan ntakuwa nawaza sana kwanini alifanya hivo akati ni mzuri tu na alikuwa akipendeza nguo yoyote before
 
Sasa sijui anamtangazia nani?kama vp tufanye maamuzi magumu mimi nampotezea

Bongo Dar Salama kaka hii dont trust anyone except yourself though sikutishi. Nishasikia kesi nyingi za wadada wa dar mchana anakuwa kawaida usiku anakuwa mzigoni mitaa fulani ingawa naimani huyo wa kwako hayuko hivyo.
 
Sure,ni kweli huyo wa kwangu atakuwa hayupo hivo
Nlikuwa nampenda ila sasa
Nikiyaangalia manyama ya matakon mwake mpk najiskia kichefu kaka
 
ni kwl hakufai tena,ila atanifaa sana mim nayahusudu sn hayo madude,nipm #yake nikusaidie il utafute flat ingne,ahsant

Kwani lazima umpore rafiki yako mpenzi wake??,Si ungetafutia hayo mavidonge mpenzi uliyenae ili na yeye awe nayo makubwa .
 
Yategemea ulipoanza naye ulimwambia nini. Kama kila mlipompita mwanamke ulikuwa unageuza kichwa mpaka unamkanyaga miguu, kwa nini asikuridhishe mpenzi wa moyo wake?
Ila kusema ukweli, kwetu wanasema ga; Fahari ya kondoo, mkia wake. Huenda katokea huko
 
Back
Top Bottom