Nimuoe yupi kati ya watatu hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimuoe yupi kati ya watatu hawa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by CHIPANJE, Dec 1, 2011.

 1. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mmoja amegraduate Udom mwaka huu,ananisisitiza sana nimuoe kwani tayari ameniona nafaa kua mumewe.

  Wa pili anachukua diploma ya ualimu mwaka wa kwanza,huyu tayari amewajulisha wazazi wake kua tayari amepata mchumba na si siku nyingi amewahidi kunipeleka kwa utambulisho.

  Mwingine na watatu,ni darasa la saba ila ni mfanyabiashara,hapendi kuona mimi napata taabu pale ninapokua na tatizo na hujitahidi kunitumia pesa kama hivi nilivyo hapa chuoni.

  Nisaidieni kimawazo,kwani wote pia wanaupendo wa dhati pamoaja nami.Kwa mfano:aliopo diploma amenitumia simu wiki ilopita,wa udom alinipatia sana fedha ya kula nikiwa field,wakati huo bodi ya mikopo walikua hawajanipa fedha na watu mwanzoni mwa wiki alinitumia 20,000/=kukabiliana na matatizo madogo-madogo.

  Nifanyeje mimi,mwenzenu.Napata wakati mgumu kujua nimuoe nani na niwache wakinani!
   
 2. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe unamenda yupi kati ya hao wote watatu? nakushauri umuoe yule ambaye unampenda kwa dhati moyoni na yeye anakupenda
   
 3. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  oa yeyote tena usiwapotezee muda wengine. Wanaume huwa tunafanya maamuzi haraka maana unapozidi kuchagua ndipo unapozidi kuongeza hatred kati yako na wao utakapowaacha. Wengine wanakuchagua kama wewe unavyochagua hivyo ukiwaacha utakuwa umewarahisishia uchaguzoi wao.
   
 4. L

  Luluka JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mbona unakuwa mwanaume wa ajabu!we unawaona wa maana coz wanakupa misaada!we kama una mpango wa kuoa baki na m1 na sio kuwapotezea wenzio muda
   
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ukiwa hujawaoa huwa wanajitahidi sana kutoa vijimisaada kama hivyo lakini ukimweka tu ndani hutaona hata siku moja na itabadilika kuwa wewe ndio ATM baba! chagua wewe unaona anakupenda na utaendana nae na awla usiangalie ana nini.  Ukichaguachagua sana utapata Koroma
   
 6. c

  christer Senior Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  utaoaje wakati kujitunza kwenyewe uwezi. si utachangisha mpaka hela ya nguo ya harusi.we soma kwanza waache wakubwa waoe we muda ukifika utaoa.kwanza leo siku ya ukimwi na wewe una wanawake 3 tabia gani.
   
 7. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mmmh we maryooo au? mtoto wa kiume ww? au kike? unapenda huduma 2 nadhan..... nways angalia ni yup unaempenda ambae utaweza ishi nae.
   
 8. U

  Usiku huu Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo hayupo hata mmoja utakaemuoa,...
  Wote hawakustahili,.coz u r nt mature enough to Marry someone..
   
 9. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  huna upendo hata kiduchu kwa hao wadada acha kuwapotezea muda ...........unawapenda vile wanakupa feza......kweli we mwanaume suruali
   
 10. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sasa si ndo maana nikamshangaa yeye ndiye anayewajua tena anatuuliza sisi bwana. Sasa tukimshauri sisi twawajua hayo aliyoeleza ni madogo sana......
   
 11. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  soma umalize shule wewe na usipende kupewapewa vitu hovyo.
   
 12. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  naona vigezo unavyotumia sidhani kama vitakusaidia kupata mke aliye bora kwnai karibu wote unajaribu kuwalinganisha kielimu na kipato lakini hujagusa upendo wao halisi
   
 13. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  bado hujakua...........mijanaume mingi tupo hivi..tunaona raaaha kuwapanga foleni..afu km ivi tena unatumiwa vivocha unajiona umefika...kuwa makini kijana...chagua mwanamke m1 unaempenda na yeye akupende...kuwa nae ukiona mnatofautiana piga chini tafuta mwingine utakaeona anakufaa..........huko kuwapanga unaezajee?kwanza am sure hupati muda hata wa masaa ma2 kukaa na mmojawapo maana angekustukia..kuwa huru kaka life is too short kujipa stress za wanawake mia...by the way sio ujanja nowdays kuwapanga...HAPPY AIDS DAY
   
 14. Madea TZ

  Madea TZ Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waoe wote tu...maana inaonekana unapenda sana vitu vyao wanavyokupa
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,117
  Likes Received: 6,597
  Trophy Points: 280
  wewe mwenyewe unategemea kupewa,
  mi naona uolewe na mmoja kati ya hao wadada inatosha.
   
 16. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ukitaka kuoa kwa historia,mwalimu anafaa ila wewe cheki wapi unapenda
   
 17. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 794
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  oa wote na kila mmoja awe na mji wake, c pendapenda wewe! km unaweza iga style za mapredezee! ah kumbe unalelewa bado unajifanya unamaamuz!
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hiyo njaa unayoendekeza itasababisha uolewe wewe.
   
 19. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Inaonekana kipaumbele chako cha kuoa ni kuangalia yule anayekupa hela zaidi si ndio? Wazungu wanamsemo wanasema 'Don't get it twisted' & 'read between the lines', love is not about money. Think again, think & think!
  BTW, maelezo yako bado hayajajjitosheleza kiasi cha mtu kukushauri umwoe yupi kati ya hao, Fungukaaa
   
 20. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  OA pesa zao maana ndiyo unazipenda!
   
Loading...